shukrani kiongozi ila nawezaje kufahamu kama laptop yangu inakubali ssd ya m2 maana nilikuwa nataka nitumie vyote kwa pamoja ssd pamoja na hdd
Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
habari kiongozi nina hp probook G5 ina hdd 500gb nilikuwa nauliza naweza kuweka ssd na pia sina uelewa na ssd huwa zinaweza kuwekwa kwenye laptop yoyote na huwa zinauzwa kama zilivyo hard disk
Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
Dah nikweli mkuu tena huwa nikitafuta mziki nikakutana na site inauza huo mziki huwa nakimbia kama nimeona simba. Ila nilikuwa nimelifikiria hilo nikaona iwe ni kustream bure kwa users wa kawaida, then kutakuwa na system ambayo app itaingiza pesa hata ads na hyo pesa tutagawana percent flani na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.