Kwa wale watu walioapply diploma mwaka huu

Kwa wale watu walioapply diploma mwaka huu

brother majina yote wapi sasa em kua specific au mwenzetu una storage kubwa ya kua na majina yote duniani
natafuta majina(list) ya walio chaguliwa sioni, natafuta langu sioni I confused now , au ndo sijachaguliwa
 
Ndio niliomba co diploma
sema hapo kuna kua na ushindani mkubwa mnoo na km mpka leo hujaona jina lako kwenye list jua hujapata nikushauri tu we tafuta chuo cha private omba kabla hawajafunga dirisha dogo la usajili la mwisho ni mwezi huu ukishindwa hapo utakaa mpka mwezi wa 3 ukishapata huko km nia yako usome government ukimaliza semester ya kwanza unatafuta government unahamia
 
Thanks more, ngoja ni fanye mpango huo , ahsante sana
 
Niliomba lugalo kile cha jeshi kaka, mda huo sikua na pesa boss wangu nilitaka kuomba vitatu vikawa na elfu kumi tu,
Mh!...kama mpaka sasa hujapata information yeyote basi ni majanga..maana majibu yashatoka tokea tarehe 3 mwezi wa 9
 
vp mkuu ulisha apply au bado?? tukupe maelekezo
Ebana yaan naingia jf nikupe feedback nakuta msg yako, ebana mi Leo nimewasiliana na chuo cha tabora institute nzega wakataka niwatumie details zangu , nikatuma zote , mda si mlefu wakanitumia msg kuwa nimechaguliwa , so APA wameniambia nitume elfu 30 kwenye no yao ya simu au account ya benk wamenipa ,
 
Mimi niliomba NIT Ila mpaka Sasa bila bila..
 
Back
Top Bottom