Recent content by hekimaufahamu

  1. H

    Maisha ya kaburini ni marefu sana kuliko maisha ya duniani. Umewahi kuliwaza hili?

    Mleta mada aache sound...huko kaburini kuna maisha gani
  2. H

    Wanawake kuweni waaminifu

    Fanya yako wewe....acha ufuatiliaji visivyokuhusu
  3. H

    Nini kinataka kulikumba Taifa la Tanzania?

    Sijakusoma bado wewe usiye lala
  4. H

    ARV Na Dawa Za TB zinatibu au zinachochea ugonjwa?

    Acha kupotosha umma wewe....huyo mchangiaji aliyesema IRIS ndio sahihi....kuwa makini na afya za watu....ingia Google soma kuhusu IMMUNE RECONSTITUTION INFLAMMATORY SYNDROME (IRIS) utaelewa!
  5. H

    Ni sawa kununua gari ya TZS 15 Million huku ukiwa unaishi nyumba ya kupanga chumba na sebule?

    Mawazo ya mwaka 1947 hayo....cabana nayo...nowadays kununua gari ni kama kununua simu ya mkononi tu....pamoja na hayo kupanga ni kuchagua
  6. H

    Tatizo la gear kwenye Harrier 3.0L

    Mmh...automotive transmission?
  7. H

    Mbeya hiki kisheria cha Zebra ni kero na kinaleta usumbufu

    Ni sheria nzuri...ila sasa inabidi kudhibiti bajaj na boda boda ...maana wakati we umesimama wao wanaovertake faster...tena kushoto na kulia
  8. H

    First lady Malawi ndani ya Sare ya Shule na begi akihamasisha Elimu kwa watoto wa kike

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  9. H

    Whitedent wanatumia Siri gani "kuua" brands nyingine za dawa za meno eg "Aha, AfyaDent na Colgate ?

    Huyu anayesema whitedent ilikuwepo toka zamani kabla ya dawa nyingine za meno!.....napata mashaka...at least ujazo na bei labda ndio pigo analotumia whitedent...nadhani pia wabongo issue ya quality sio deal kwao....kwa mfano kuna moja ya UK inaitwa Sensodyne...kana ujazo mdogo ila price yake...
  10. H

    HAI: Mwalimu awekwa rumande kwa kushindwa kuandika jina la Mkuu wa Wilaya

    Duh Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom