Subaru forester vs suzuki eskudo vs nissan dualis

hamirj

New Member
Dec 10, 2017
4
0
Habari wakuu,
Nina mpango wa kuchukua chombo na interest ya yangu ni kwa hizo tajwa hapo juu. Forester ya 2007+ , escudo new model 2007+ na hiyo nissan dualis. Naombeni kupata ushauri wenu in terms of uimara, fuel consumption, stability na mengineyo. Zote ni cc2000 though. Natanguliza shulrani.
 
Apart fron spair kuna issue nyingine yoyote na hii dualis mkuu.
Spare tutapambana
Huwa zina shida ya driving shaft, ila kama wadau walivyo sema gari ni matunzo. kama spea unamudu karibu kwenye chama la Nissan
 
Kama unapenda michezo ya njian ile ya ku overtake na mwendo wa ndege inayotaka kupaa chukua forester maana zote hapo kwa forester zinapiga magoti.Ndugu yako watakuwa kina BMW,Audi or vw Usisahau speed inaua.
 
Habari wakuu,
Nina mpango wa kuchukua chombo na interest ya yangu ni kwa hizo tajwa hapo juu. Forester ya 2007+ , escudo new model 2007+ na hiyo nissan dualis. Naombeni kupata ushauri wenu in terms of uimara, fuel consumption, stability na mengineyo. Zote ni cc2000 though. Natanguliza shulrani.
Hakuna gari Hapo, hizo zote ni mbolea tu!

Tafuta Volkswagen Tourage utaenjoy zaidi
 
Back
Top Bottom