Recent content by Heinrich Himmler

  1. H

    Car4Sale Nauza Ist yangu-low millage

    ipo 7 mil cash mkuu
  2. H

    RC Dar, TEF na Ruge waongea na wanahabari: Habari za RC sasa ruksa. RC agoma kuwaomba radhi Clouds

    there are three stages on the barometer of Arrogance, confidence and over-confidence are precursors to Arrogance.
  3. H

    EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

    Nimeona kwenye Tv kuwa kuna mwanahabari ameshinda U-mp wa nyali huko kenya anakwenda kwa jina la mohamed ali, nilitaka kujua kama ni yule wa jicho pevu maana nilisikia alibwagwa kwenye kura za maoni za nasa, sasa aligombea vipi tena, au alikuwa independent? Mwenye taarifa zake naomba kujuzwa.
  4. H

    Prof. Kabudi hafai kuwa mkuu wa mazungumzo ya makinikia

    ac Achana nae huyo hajui, kila sector ina special economic skills, halafu ndio hiyo general economics ya Ndulu. Ingawa sector zote zinatumia similar principles of economics. hata huko kwenye extractive industry kuna hiyo mineral economics na ipo Petroleum economics, hizi ni tofauti ingawa zote...
  5. H

    A Primer on Black Intelligence

    A Primer on Black Intelligence Posted on March 27, 2017 by LM In response to this article about how archaeologists have digitally reconstructed the face of a medieval man who died 700 years ago, commentator “Robbie” has what is probably the best encapsulation of HBD findings on black...
  6. H

    Ushuhuda: Makaburu wanavyotuibia dhahabu kwenye migodi sisi na Wakanada

    DADA huoni hatua niliyoichukua kuisaidia serikali yangu kwa kutoa taarifa kwenye vyombo ambavyo vinaweza kuwakamata, au ungekuwa wewe ungefanyaje?
  7. H

    Ushuhuda: Makaburu wanavyotuibia dhahabu kwenye migodi sisi na Wakanada

    Nilikuwa nafanyakazi tarime mgodi wa North Mara miaka ya 2009/10 kwenye kitengo cha security. Kuna kijana anaitwa John tulikuwa naye kwenye kitengo cha security. Mimi na John tulikuwa tunasimamia ugawaji wa mufuta kwenye machine zilizopo kwenye machimbo (Pit) kwa kutumia fuel boozer. Ratiba yetu...
  8. H

    Urafiki wa mashaka wa vituo vya redio

    Samahani kiongozi, we ndio mchambuzi tegemeo wa chama kwa maswala ya kitaifa?
  9. H

    Usijidanganye, huwezi kumpa upendo mtoto asiye wako sawasawa na mtoto wako

    Wakuu heshima kwenu, Zamani kabla sijawa na watoto, nilikuwa nakaa kwa bro ambaye ndiye alienisomesha na kunitafutia ajira. Jirani yetu kulikuwa na familia ya mtu ambaye alichelewa kupata watoto hivyo akaamua ku-adopt watoto wawili. Inavyosemekana baadae walikuja kuzaa watoto wawili hivyo...
  10. H

    Rais Magufuli: Tetemeko halijaletwa na Serikali, watu wafanye kazi

    Mkuu umenifurahisha sana kwani ulikuwa unamaanisha nini? ina maana kila baya la huyu bwana lawama ziende kwa JK?
  11. H

    Pipa la Nabii Geodavie linakuja mikoani jiandaeni"

    Mkuu labda huelewi maana halisi ya hizi social networks, huku kila mtu anatoa mtazamo wake kuhusu kile anachokiona halafu hoja zinashindanishwa hatimae kila mtu anapanua mawazo, Desi ilipokuja ilipitia makanisani, waumini wakaambiwa wanapanda mbegu, mijadala kama hii ilipokuwa mikali kwenye hizi...
  12. H

    Pipa la Nabii Geodavie linakuja mikoani jiandaeni"

    Hakuna nabii wa uongo wala wa kweli, wote ni waongo tu. Kama wapo nitajie nabii wa kweli mmoja?
  13. H

    Pipa la Nabii Geodavie linakuja mikoani jiandaeni"

    Wasomi wa bongo wasikuumize kichwa sana, elimu imeshindwa kuwatoa ujinga wa kuamini mizungu, ndio maana kwa babu wa loliondo waliongoza wao kwenda kunywa kikombe. Msomi mzima unaacha dawa za hospital unaenda kunywa kikombe eti babu kaoteshwa na mungu. Dah! Pale ndio nilipoona hii nchi tuko...
  14. H

    Pipa la Nabii Geodavie linakuja mikoani jiandaeni"

    Mkuu ni mhandisi gani huyo kaingia chaka? Au unamuongelea asiyejaribiwa?
Back
Top Bottom