Recent content by Hegelyakoni

  1. H

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa kiongozi wa BAVICHA atua NCCR-Mageuzi

    Angekwenda CCM akakutane na the first class economist wa Kikwete, chemba la migulu ha ha ha ha!!!!
  2. H

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa kiongozi wa BAVICHA atua NCCR-Mageuzi

    Huyu nae katokea wapi, anaumia kugundulika kuwa ye ni masalia. Hawa ndo wale akina fisi hukimbilia masalio MASALIA KAWAHI MASALIO hahahahaha!!!!!
  3. H

    JamiiForums Tanzania BAVICHA kuitisha maandamano ya kitaifa kumg'oa Dr. Slaa!

    Chama cha Mapinduziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, mwisho umefika
  4. H

    JamiiForums Tanzania BAVICHA kuitisha maandamano ya kitaifa kumg'oa Dr. Slaa!

    Hao wanacheza ngoma ya ccm, hahaha!!! Ha
  5. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ikishinda vita ya propaganda itachukua nchi 2015

    KIUKWELI DR Slaa ni Jembe.Yule mzee ananyota kali mno kwasasa, Mtanzania amchukiae anapoteza muda. mzee Anatisha mwacheni as alivo .tusiongee tu coz tunaipenda Ccm bana.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Flashback: Mh. Msigwa in action Very good!

    Ki-ukweli msigwa ni moja ya hazina ya Tz,na nafikiri ni zaidi ya mwanasiasa he is above normal. bible inasema Mungu akikuridhia anakupa Hekima then maarifa na mwisho anakupa furaha.kwa kweli ni hotuba nzito kuielezea. Ebu ccm wawatumikie watu Basi, waache LONGOLONGO JAZZ, MTU kama Nape...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Bungeni Live: June 19, 2012

    Nasikia tu kwamba rais wa Bongo ni dhaifu, imekaaje hiyo? hali chakula?,anaumwa? au kunanini jamani ebu tujuzane,mbona majuzi nilimuona ktk picha ya pamoja na Yule superstar wa England akiwa na afya yake au mnazungumzia afya gani?
  8. H

    JamiiForums Tanzania Lema kaka yangu nikufarijije?

    Kama Mungu aishivyo nawe utaishi,Ni wazi lema umewakamataCCM.nasi tutafunga nakuomba kwa ajili yako maana wewe ni tunda la Mungu.mtu awatumikiaye wenzie kwa dhati ni mtu wa Mungu. Mungu ni pendo
  9. H

    JamiiForums Tanzania Kama sio DR. Slaa, Godbless Lema ndiye Rais 2015

    jamani,tuache utani tujadili facts,Wasomi wangapi wamekuwa vituko tu,nchi hii ipo mahali pabaya kwasababu ya wasomi haohao mnaowasifu. mimi nawakumbuka akina kikwete,profesa kapuya, Maige, ikerege,chami na wengine wengi tu wamefanya nini pamoja na elimu zao kuwa kubwa? inakuwa sawa na...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Nasari imekuwa mtaji wa CCM wanadai katumwa na Dr. Slaa

    wamefulia CCM haoooo! Wamwombe Mungu awape Hekima na sio excuses.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Nimefarijika sana....Asante sana Dr.Slaa...

    eh! bwana si uongo,kiukweli Dk watu wanamzimikia sana.one time nilibahatika kufika maeneo anayoishi jamaa niliekuwa nae akanambia hapa ndipo anapoishi Dk, ee bana nilishtuka afu nikajihisi mmoja ya wenye bahati.nilitamani niingie hata nimpongeze kwa mwekundu mmoja (10000/=) lakini mahali...
  12. H

    JamiiForums Tanzania James Mbatia na Nape Nnauye wakiwa Denmark kuhudhuria mkutano wa vyama vya Siasa

    Hamjaelewa,ni kweli Mbatia njaa inamsumbua,lakini Kikwete pia amechanganyikiwa maana kwa hali ilivo sasa ni kama anapigwa kila upande kiasi kwamba haelewi nini afanye.matokeo yake kafanya kituko cha kumchagua Mbatia.hata haieleweki kalenga nini.Kiukweli tusicheke bali tumwombee huyu Rais.Kama...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu arumeru ilikuwa vita! 2015 tunaingi ikulu ila lazima tufanye kazi

    we umesema kabsaaaa
  14. H

    JamiiForums Tanzania Hivi JK alijua anaongea na kundi gani pale Davos?

    shawahi sikia tetesi kwamba, Mkapa alishawahi tamka kuwa Watu wangekuja kujuta kwa kumchagua kikwete,hii imekaakaaje wanaforum ebu mwenye kujua atujuze,maana inanishawishi kuamini kwamba jamaa (Mkapa) Ni Nabii wa ukweli,na alijuaje haya mambo?
  15. H

    JamiiForums Tanzania Adam Malima na 'mipete mikubwa' mikononi

    ukiona ivo ujue anaishi kwa kutegemea mapepo na majini
Back
Top Bottom