Hivi JK alijua anaongea na kundi gani pale Davos?

kama umechunguza kwa makini mle ndani wajumbe wengi wakuwa bize na simu zao wakati anaongea jk.....tofauti na wakat zenawa na zuma wanaongea.....


That proves that very serious guys willnever waste their time listening to JK siyo ? Why anaenda huko sasa na heshima yake kumbe iko chini sana ?
 
Kwakuwa uraisi ni taasisi, umefika wakati washuri wa raisi wachunguzwe. Nahisi hawatimizi wajibu wao vizuri. Rais anavoenda kwenye mikutano kama hiyo anatakiwa aandaliwe mambo ya kuongea. Ni aibu kubwa mtu kujiainisha kama mshauri wa raisi wakati rais anapata shida kuzungumza kwa ufasaha mambo yanayolihusu taifa. Jk afukuze wote kazi. Wanalipwa mishahara ya bure hao.
Rais anachunguzwa na wapiga kura kabla ya kuchaguliwa kwa kupitia midahalo, tunategemea nini kama tunachagua watu wanaokimbia midahalo kabla ya uchaguzi?
 
Hivi kwani ilikuwa lazima ajibu kwa kidhungu? mbona mwenzie alikuwa anatumia lugha anayoielewa vizuri then inatafasiriwa

Mkuu tatizo si kidhungu, tatizo la kiwete ni uwezo wake!! Hana capacity ya kuongelea issues! Amezoea midahalo na maswali ya kuandaliwa majibu!! Kwenye forums kama hizi ni bora awe anaacha tu kwenda maana ni aibu tupu!!

JK anaweza kuiongea vizuri na wazee wa Dar tu!! Wewe subiri atakapokuja kuongea nao hivi karibuni kujibu mapigo yoote ya mgomo wa ma-dr!!! Hapo ndipo utakapojua Jk ni nani!! Huko hawezi masikini mkwer.e wetu anatia hurutma tu!!
 
Hivi hakuna njia yoyote ambayo tunaweza kupunguza miaka ya jk? Mie naona miaka Minne iliyobaki Tanzania itakuwa kama sio nchi tena! Jamani kwanini tusifikilie njia mbadala? Kwani lazima amalize miaka yote?

Ningemuona ana busara za kutosha kama angeamua kujitoa yeye mwenyewe, maana si kweli kwamba hajui kuwa viatu alivyovaa vinampwaya!
 
Jamani huyu waziri mkuu wa Ethiopia yuko fit, nimepanda jinsi alivyoweza kuchambua mambo kwa ufasaha. Ni mtu anayeonekana ana upeo wa hali ya juu, na zaidi ya yote, anajua anataka kufanya vitu gani kwa nchi yake. Ndio maaana ana mpango wa kuproduce 45,000 MW za umeme na kuziuza kwa nchi mbali mbali za Africa, tayari Kenya wamekubali kununua 400 MW toka kwao.

Nairobi, Addis in landmark 400MW power purchase deal  - News |theeastafrican.co.ke

Wakenya wanaikarabati airport ya JKIA ili iweze kuwa na category 1 status, ambayo itawezesha kuwa na direct flights from USA. Kitu hiki ni muhimu katika kuongeza idadi ya watalii na pia kuongeza masoko ya Horticultural products nchini marekani.

JKIA targets US airlines with upgrade of terminals  - Politics and policy |businessdailyafrica.com

Kitu kilichoniumiza katika huu mdahalo ni kusikia mtu, mwenye $ 10 billions inambidi ajuane na viongozi wa juu "rushwa" ili kuwekeza. Hivi nani katuloga?
 
shawahi sikia tetesi kwamba,
Mkapa alishawahi tamka kuwa Watu wangekuja kujuta kwa kumchagua kikwete,hii imekaakaaje wanaforum ebu mwenye kujua atujuze,maana inanishawishi kuamini kwamba jamaa (Mkapa) Ni Nabii wa ukweli,na alijuaje haya mambo?
 
Mkuu tatizo si kidhungu, tatizo la kiwete ni uwezo wake!! Hana capacity ya kuongelea issues! Amezoea midahalo na maswali ya kuandaliwa majibu!! Kwenye forums kama hizi ni bora awe anaacha tu kwenda maana ni aibu tupu!!

JK anaweza kuiongea vizuri na wazee wa Dar tu!! Wewe subiri atakapokuja kuongea nao hivi karibuni kujibu mapigo yoote ya mgomo wa ma-dr!!! Hapo ndipo utakapojua Jk ni nani!! Huko hawezi masikini mkwer.e wetu anatia hurutma tu!!
Hivi mbayuwayu kwa kiingilishi inaitwaje angewachomekea wazungu wakawa bize kutafuta maana yake kwenye dictionary watakapoibuka wanakuta yeye anamalizia Thank You mr Prime Minister Gordon Brown.
 
Mkuu hana jipya,kama anajua hayo yote kuhusu afrika amafanya hatua gani kuyatekeleza?
 
Tukisema hapa jamaa ni kilaza kuna wale mashabiki zake humu wanamtetea mpaka mapovu yanawatoka, sasa wabishane na youtube
maana hapo sio sisi ni jinsi mambo yalivyojiri, maskini Tanzania nchi yangu kuna miaka mingiune minne mpaka tutoke kwenye hili janga
 
Jamaa nahisi wanamuona kama kituko jk, ila bahati mbaya haoni wala hajari. Wa tz tumetia aibu kumchagua huyu bwana
 
Naona vicheche wa CDM wamecharuka na propaganda zao, mtabaki kupiga kelele tu humu JF mwisho mtanyamaza. Hakuna mwenye jeuri ya kuandamani wala chochote.
Kikwete ndio Rais wa Tanzania na ni baba yenu wote nyie humu.

manufacturing of teachers............
Na hawa ndio waliomchagua.......
 
".. Manufacturing teachers.. " sasa c ange edit sentence..! Naona aibu mimi.! n he might be Ok.!
 
kwa ujumla ameongea vizuri tatizo labda alishindwa kutuma ujumbe wake kwa kuweka maneno mafupi yenye ujumbe unaoeleweka, yaani mtiririko wake ulikosa minofu na mpangilio, na wakati mwingine anaonekana kama mtu aliye amshwa toka usingizini labda lile tatizo la nerve lina msumbua
 
nikimwangalia huyu bwana namfananisha na Dictator Idd Amin very poor coordination of talking sense, sorry! to vomit this, he's meathead.....i am very ashamed to see him ruling my country.
 
Ni aibu kuwa na Rais kama huyu, ni kama juha vile hajitambui waka hajijui. Aibu aibu tupu. Na fikiri waliompigia kura pia wana akili kama zake, empty. Anaulizwa anajibu madudu ambayo hajaulizwa anatoka nje ya mada, hana hoja
 
Back
Top Bottom