Kaka ajuaye siri ya ujauzito ni kitanda, yeye anaishi mchambia wima mambo ya huku hawezi jua,hajua ametoka wapi anaenda wapi, ni mrukiaji wa mada pasipo kujua undani wa topic wala uhalisia wake,watu wa arusha ndio wanaojua umuhimu wa lema ndani ya huo mda mfupi alioongoza kama mbunge,
Je ni kiongozi gani alinyang'anywa uongozi mji ukazizima kwa huzuni? Mbona kaka yako maige amevuliwa uwaziri nchi nzima imefurahi je ni watanzania wangapi waliumizwa moyoni kwa hukumu ya lema?
Je wananchi wangapi wanamlaumu? Ogopa hadi baba yako,mama yako dada yako,kaka yako,shangazi,babu n.k wanamheshim mtu na kumjali kwa sababu ya dhamira ya kweli, endeleeni na kujichubua kwenu, sisi kazi kazi hadi tukukomboe, utake usitake la sivyo hama Tz