Recent content by Heavy User

  1. Heavy User

    JamiiForums Tanzania Biashara haramu zina hela nyingi sana.

    Bongo pagumu. Ukisubiri mafanikio ya kihalali utasota sana. Ndiyo maana watu wanaamua kujiongeza
  2. Heavy User

    JamiiForums Tanzania Biashara haramu zina hela nyingi sana.

    Usisahau na ufisadi, uchungaji wa dini, siasa, watumishi wa taasisi/kampuni kujiongeza
  3. Heavy User

    JamiiForums Tanzania Naomba kumfahamu mwanasayansi yeyote aliyetokea chuo kikuu cha UDSM

    Kwa majibu ninayoyaona hapa, elimu yetu ya Tanzania iko chini sana. Haitusaidii Watanzania. Ni ya kukaririshwa bila vitendo
  4. Heavy User

    JamiiForums Tanzania Tunaweza kuwa tunazilaumu Kamati za Usajili bure kumbe Wachezaji 'Top Class' Afrika hii ni Adimu sana au Wameisha

    Hata wa Ulaya na Amerika Kusini nao watatupotezea muda. Vilabu vitakuwa, lakini timu yetu ya Taifa itabaki kuwa kichwa cha mwendawazimu. Muda uliofika ni kuwakuza wachezaji wetu wa ndani wafahamike huko Ulaya na Amerika Kusini. Timu yetu ya Taifa iingie kwenye top 10 Afrika
  5. Heavy User

    JamiiForums Tanzania Bado watanzania wengi tunashindwa kutofautisha aina za AI na matumizi yake japo ni AI zote

    Bora hata Sativa kuliko AI ya WhatsApp (Meta AI). Meta AI iko shallow sana. Hapa Meta walikurupuka.
  6. Heavy User

    JamiiForums Tanzania Afrika Yaandika Historia Kombe la Dunia 2026 – Tanzania Tujifunze kutoka kwao

    Kingine, sheria mpya FIFA za kupinga ubaguzi, pamoja na VAR, vimpeunguza timu za Afrika kuonewa.
  7. Heavy User

    JamiiForums Tanzania Mamilioni ya FIFA yako wapi? Mabingwa wa Afrika wanaishi maisha ya kubahatisha Kombe la Dunia 2026

    Kwa mgogoro wa Senegal dhidi ya Morocco kwenye fainali ya AFCON. Ni kama FIFA wameamua kumkomoa Senegal kwenye WC 2026, wamemwekea timu ngumu balaa. Makundi yote ya WC 2026, kundi lake ndiyo gumu kuliko yote.
  8. Heavy User

    JamiiForums Tanzania Ni Timu gani ya Taifa utakuwa unaishabikia katika Kombe la Dunia 2026?

    Hii timu usharo mwingi. Washalewa umaarufu. Baada ya kucheza kwa kazikazi. Wao uwanjani wanakimbia kwa madaha
  9. Heavy User

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu ni kwamba umebakisha kushuhudia Marais wawili tu wa Tanzania

    Dunia tamu jama!. Ila kifo kinakatisha starehe ya kuifaidi dunia. Moyo unauma unaiacha dunia, moyo unauma unaacha warembo wazuriwazuri, unaacha familia inayojivunia wewe, unaacha vyakula vitamu unavyopenda, unaacha vinywaji vitamu, unaacha simu kalikali, unaacha ma-tablet makali, unaacha...
  10. Heavy User

    JamiiForums Tanzania Ila private sector kuna watu wanakula maisha balaa

    Kutafuta biashara na kukaa kwenye mfereji, inatakiwa uwe mtaalam wa location. Ukiiona location, ukiwa location, unajua kabisa kwamba location hii inatakiwa biashara fulani.
  11. Heavy User

    JamiiForums Tanzania Nini kilikufanya ugundue Umri umeenda?

    Umri kukimbia kunakosesha raha. Ndiyo maana sitakagi hata kujiangalia kwenye kioo.
  12. Heavy User

    JamiiForums Tanzania Kila ninapotaka tutoke pamoja, Mpenzi wangu anakataa kuongozana nami. Nifanyaje?

    Mwanamke anakua na wanaume wengi siyo kwasababu ya ngono kwa kila mwanaume, ila kila mwanaume ana kazi yake. Tofauti na sisi wanaume, tuna wanawake wengi kwa ajili ya ngono tu. Mwanamke mwenye wanaume wengi, kila mwanaume ana kazi yake. Kuna wa kumpiga miti mpaka aridhike, kuna wa kumpigisha...
  13. Heavy User

    JamiiForums Tanzania Kwanini 'Wachapakazi Hodari' wanaishia kuwa punda wa ofisi, Huku 'Wambea' Wakipanda Vyeo?

    Huu uzi una madini. Sisi majobless na tuliojiajiri tunajifunza vitu vingi. Principles za humu za jinsi ya kujitangaza na kujipandisha thamani zina-apply hadi vijiweni, majumbani na mitaani
  14. Heavy User

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli mwanaume unajua kuwa chakula hiki hakikupikwa na mke wako?

    Nimekaa na mama Chibonge hapa. Huu uzi umenifanya nigeuke nimtazame
Back
Top Bottom