Recent content by Heater

  1. Heater

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumfuatilia mumeo kila hatua kwa kisingizio cha upendo kunakera sana

    Ndio,kapitia izo.... Lkn n mama Bora sana.... Isipokua tu... uko wap, unafanya nn, unarud saa ngp, naomba urudi nyumbn....
  2. Heater

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumfuatilia mumeo kila hatua kwa kisingizio cha upendo kunakera sana

    Ww ni Bora sana ikiwa upo ivo at nje ya keyboard
  3. Heater

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumfuatilia mumeo kila hatua kwa kisingizio cha upendo kunakera sana

    Mke Wangu akat nakutana nae alikua anakunywa... Mbali zaid alikua ata akivuta sigara sio bangi.... Nilimvumilia na mm nilikua nakunywa lkn sigara hapana.. Sijui yalimkuta yapi tulipoingia Ndoanu mwenzangu Kawa mlokole Mm sijabadilika Bado nakunywa Ninavohubiriwa kama uyo shetan ndo Mimi...
  4. Heater

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumfuatilia mumeo kila hatua kwa kisingizio cha upendo kunakera sana

    It is Ok kuuliza,inawezekana kweli unajali .... Lkn Ukishaambiwa Nipo sehem flan nafanya kitu flan, unakua muelewa au unakua mbinafsi? Mfano... Nipo bar flan naangalia mpira na ww upo home umewasha TV unaangalia mpira huohuo... Unakua muelewa
  5. Heater

    JamiiForums Tanzania Dar yaendelea kuongoza kwa Wateja wa Huduma za Mawasiliano Tanzania, ina Wateja Milioni 12.9

    Na hiyo yote imetokana na '" Tuma kwenye namba hii"'
  6. Heater

    JamiiForums Tanzania Special thread: Hii ni kwa wakali wa kutunga lyrics (nyimbo) za mahaba hasa kwa mfumo wa RnB

    Nimeishi na watu tofauti Wenye roho Safi na wenye chuki Nawajua marafiki nawajua mamluki Wenye akili ndefu na zile fupi
  7. Heater

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa kweli: najuta kwenda honeymoon - nilichofanyiwa sitakuja kusahau

    Mmetoka harusin saa 6 usk.... Mmeingia hotel ukakutana na mauza uza mkabishana takriban masaa 3.... Inakua saa 9 usk alaf baadae simu inapigwa mida ya saa 8 usk Sam anaenda kuongelea pemben Kisha anakuomba msamaha........ Lkn story n tamu ngoja nisubili uje
  8. Heater

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, sio kila kitu cha kujadiliwa na viongozi, mjue mahali pa viongozi kufunga midomo

    Hao ambao hawajasema lolote wametusaidiaje kwenye mahitaji yetu muhimu
  9. Heater

    JamiiForums Tanzania Anayeijua Clouds City vyema njoo hapa

    sikuizi biashara kubwa za maredio ni Viwanja na kamari.....
  10. Heater

    JamiiForums Tanzania Serikali kufuta leseni za Halmashauri, Leseni zote zitatolewa na BRELA

    Kwaio leseni moja ata ukiwa na biashara mikoa yote... itakua poa sana hii
  11. Heater

    JamiiForums Tanzania Kweli Dkt. Slaa kwenye matamshi yake ametamka "tutafanya hivyo"?

    Nakusudia kulishtaki jeshi la Polisi Tanzania kwa kusababisha taharuki ktk Taifa... kupitia uzushi wa uhaini
  12. Heater

    JamiiForums Tanzania MOSCOW: Thamani ya Sarafu ya Urusi yaanguka kuliko ilivyotarajiwa dhidi ya Dola ya Marekani

    Sarafu yake itatawala Africa alaf sarafu za africa atazipeleka wapi? Je thamani ya sarafu za kiafrica n za kudumu au zinayumba yumba kama mlevi
  13. Heater

    JamiiForums Tanzania Nimetuma email FIFA for match fixing ya Singida VS Simba

    Corruption - kiasi gani? Toka kwa nani kwenda kwa nani? Wapi? Muda gani? Kusudi gani?
  14. Heater

    JamiiForums Tanzania Russia imetoa onyo kwa ECOWAS, isithubutu kuivamia Niger kijeshi

    Ecowas wanavimba sababu ya West... Niger wanavimba sababu ya Russia... full Kugombania mabwana ... Haya wacha tuendelee kucheck movie
Back
Top Bottom