Recent content by Healer2

  1. Healer2

    Vodacom kufuta vifurushi vya Uni Offer

    Card yako ina walau 1$ ? kama haina weka pesa kisha jaribu tena.
  2. Healer2

    BLOGGERS NA DEVELOPERS NISAIDIENI HAPA

    Kwa template za hao jamaa huwa ni ngumu; ila kwenye tech hakuna kinashindikana ngoja wanakuja. Ilaa kwa nini usinunue ili kupata option ya kutoa footer credit? na kama haununui kwanini usiache hivyo ili kusupport aliyekutengenezea?
  3. Healer2

    Nahitaji kufanya manunuzi online ila sanduku la posta ndo tatizo

    Ili kupokea mzigo wako posta kuna ile karatasi wanaiacha kwenye box uliloagizia hivyo ni muhimu kuwa na box. Kama wewe hauna box omba la ndugu/rafiki na kama ikishindikana omba hata la kanisani/msikitini kwako na uwasiliane na anayehusika na ufunguo wa posta ili mzigo wako ukifika iwe rahisi...
  4. Healer2

    TZ Youtubers: kwa viewers laki 1 unapata dola ngapi?

    Unataka kuambiwa utapata 1m wakati hujajua hiyo milion moja unaipataje? Mwisho wasiku unaikimbia hiyo youtube mana utajikuta una Views 100,000 lakini ukiangalia Earning haifiki hata 10$
  5. Healer2

    TZ Youtubers: kwa viewers laki 1 unapata dola ngapi?

    Nilicho kigundua ni watu kutaka majibu mepesi bila kuonyeshwa njia ya jibu lilivyopatikana. Kwa mwendo huu ndomana adsense nyingi Tanzania huwa zinakula Ban kwa kutaka majibu mepesi.
  6. Healer2

    fees za posta

    Mwazoni ni kama 50,000+ ila baada ya hapo malipo kwa mwaka ni madogo sana.... Nakushauri kama unaharaka utumie anuani ya mtu mwenye box tayari huku ukifuatilia lakwako.
  7. Healer2

    Msaada: Motion Graphics

    Kama ni mtumiaji mzuri wa Internet, Youtube Ni Chuo tosha, Ada yake ni bando lako tuu bas,
  8. Healer2

    Nianze kutangaza Facebook page au kutangaza tovuti

    Kwa ushauri wangu ungetangaza kwanza Fb Page, Kama ukianza kutangaza tovuti inamana mtu atakapoona tangazo ataingia kwenye tovuti akitoka atasahau kurudi tena au hata akirudi ni mara moja kwa bahati. Unajua ni kwanini nakwambia uanze kutangaza Fb page? Mfano ukitangaza watu wa like inamaanisha...
  9. Healer2

    Tujuzane njia ya kupokea pesa kwa Paypal Tanzania

    Mweleweshe Mwenzako kuwa pia kutumia hiyo safaricom inahitaji umakini wakati wa kutumia. Anapaswa wakati wakutumia Location abadili kuwa kenya kwenye kifaa chake pamoja na GPS. Lasivyo Paypal wana ifungia fasta.
  10. Healer2

    Kuondoa Background Kwenye Picha Bila Programu Yoyote

    Inakula baadhi ya sehemu za picha haswa kichwani....... Bado umuhimu wa Photoshop uko pale pale
  11. Healer2

    status ya Second-level Domain (.tz)

    Kwa mimi ninavyoona inapunguza wingi wa maneno Mfano kama domain yako ni john.co.tz john.tz ndo itakavyokuwa Mtumiaji ataikumbuka kwa urahisi zaidi kuliko hiyo ya .co.tz
  12. Healer2

    TUSHAURIANE VIFURUSHI BOMBA KWA INTERNET

    Halotel offer yako... 4gb @5000 ndo kinanisogeza
  13. Healer2

    Namna ya kui trick express vpn ili upate kuitumia bila kulipia

    Tumia Epic Browser in Built-in VPN
Back
Top Bottom