Jinsi ya Kubadilisha Kompyuta ya Zamani na Iwe Android

Tanzania Tech

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2016
Posts
355
Reaction score
276
Habari wana JF, leo ningependa kushare na nyie njia mpya kabisa ya kubadilisha kompyuta yako ya zamani na iweze kutumia Android, Njia hii sio kama zile ambazo unatumia Emulator kama bluestack na nyingine kama hizo bali hii utaweka mfumo mzima kabisa wa android na utakuwa unafanya kazi kama kompyuta. Yani kifupi unaweza kutumia hii kama kompyuta yako ya kila siku, unaweza kuinstall programu zote za Android kutoka Play Store pia unaweza kufanya kila kitu ambacho simu yako inafanya ikiwa pamoja na kucheza game.

Video hapo chini inaonyesha jinsi mfumo huo ulivyo baada ya kuwa installed kwenye kompyuta.

Naweza kuweka zote mbili yaani windows na android. Niwe nachagua tu kuboot wapi?
Habari wana JF, leo ningependa kushare na nyie njia mpya kabisa ya kubadilisha kompyuta yako ya zamani na iweze kutumia Android, Njia hii sio kama zile ambazo unatumia Emulator kama bluestack na nyingine kama hizo bali hii utaweka mfumo mzima kabisa wa android na utakuwa unafanya kazi kama kompyuta. Yani kifupi unaweza kutumia hii kama kompyuta yako ya kila siku, unaweza kuinstall programu zote za Android kutoka Play Store pia unaweza kufanya kila kitu ambacho simu yako inafanya ikiwa pamoja na kucheza game.

Video hapo chini inaonyesha jinsi mfumo huo ulivyo baada ya kuwa installed kwenye kompyuta.

Kujua jinsi ya kuinstall unaweza kusoma HAPA

Mti wenye matunda.
 
karibu sana
 
Duh afadhari umepatkana m-badala wa bluestak mana ilikuwa inaniboa kchzii af inafanya machine inakuwa nziito mpaka sio poa yaaan
 
Back
Top Bottom