Xavee
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 436
- 644
Nimekuwa na Vodacom Tanzania kwa miaka 17...
Lakini nishasepa kimya kimya baada ya upuuzi wa kuweka GB 1.2 kwa 3000.
Kama vipi Wangepunguza dk na mb waziache kama zilivyo.