BLOGGERS NA DEVELOPERS NISAIDIENI HAPA

SECRET AGENT

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
252
488
Naomba nisaiidiwe namna gani naweza kuideit free templates Kwenye blogger na kuiwekea jina langu kwenye Footer sehemu ya chini kabisa. Kama inavyoonekana Kwenye picha hapo chini jinsi gani nitaweka jina langu mm mwenyewe badala ya Hilo neno sora templates.
Screenshot_20190711-053349_1562812484351.jpeg
 
Naomba nisaiidiwe namna gani naweza kuideit free templates Kwenye blogger na kuiwekea jina langu kwenye Footer sehemu ya chini kabisa. Kama inavyoonekana Kwenye picha hapo chini jinsi gani nitaweka jina langu mm mwenyewe badala ya Hilo neno sora templates.
View attachment 1150940
Kwa template za hao jamaa huwa ni ngumu; ila kwenye tech hakuna kinashindikana ngoja wanakuja. Ilaa kwa nini usinunue ili kupata option ya kutoa footer credit? na kama haununui kwanini usiache hivyo ili kusupport aliyekutengenezea?
 
kwanini uiedit wakati hujatengeneza wewe?
nunua full version au iache hiyo footer hivyohivyo...
 
Hiyo huwezi kuitoa ,kwa sababu kuna copyrighted codes zinafichwa kwenye template ,ukiitoa site haiwezi run
 
Wakuu nimeyaelewa mawazo yenu na nafanya mchakato nilipie maana nimeona cost yao siyo kubwa sana
 
Well kuna njia tofauti:
blogger extracts themes zao from an XML Format file sys so uki ingiza iyo file in a Text editor unaweza toa from their HTML Format.

Extracted Example:

HTML:
<div class='copyright'>Crafted with <i aria-hidden='true' class='fa fa-heart' style='color: red;'/> by <a href='http://www.way2themes.com/' id='mycontent' rel='dofollow' title='Free Blogger Templates'>TemplatesYard</a> | Distributed by <a href='http://www.mybloggerthemes.com/' rel='dofollow' target='_blank' style='color:#0a9e01;'>Blogger Templates</a>

Njia ya pili ni kudownload a Priemium Version ipi unaweza by kuandika jina ya theme na neno "nulled"

Example:
"Jamiiforums theme nulled"

BEST WAY (RECOMMENDED)

Nunua the premium theme kwa sababu haijalishi kuwa upo nchi gan but COPYRIGHT INFRINGEMENT is a SERIOUS ISSUE
 
Well kuna njia tofauti:
blogger extracts themes zao from an XML Format file sys so uki ingiza iyo file in a Text editor unaweza toa from their HTML Format.

Extracted Example:

HTML:
Crafted with  by [URL='http://www.way2themes.com/']TemplatesYard[/URL] | Distributed by [URL='http://www.mybloggerthemes.com/'][COLOR=#0a9e01]Blogger Templates[/COLOR][/URL]

Njia ya pili ni kudownload a Priemium Version ipi unaweza by kuandika jina ya theme na neno "nulled"

Example:
"Jamiiforums theme nulled"

BEST WAY (RECOMMENDED)

Nunua the premium theme kwa sababu haijalishi kuwa upo nchi gan but COPYRIGHT INFRINGEMENT is a SERIOUS ISSUE
Asante kwa mawazo na mchango wako
 
Back
Top Bottom