Nianze kutangaza Facebook page au kutangaza tovuti

Mapensho star

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
2,673
2,000
Habari zenu wadau
Nina tovuti ya kuuza na kununua sasa ipo kwa mda kidogo kama miezi saba na ina google adsence
sasa imefika muda nataka nianze kuitangaza kwenye social Network ili iwe maarufu kwa mkoa mmoja tu watu waanze kuweka matangazo kutangaza bidhaa zao ili niwachaji pesa au nisimame mimi mwenyewe kama dalali vyovyote biashara itakavyokuwa kati ya hayo mawili
sasa sina uzoefu sana kutangaza kwa kulipia matangazo faceboook
Nina mambo mawili nayafikiria kuyafanya kati ya haya
1.kupromote facebook page kwanza
2.kupromote tovuti kwanza then watu watalike page wenyewe
naombeni mawazo kati ya hayo mawili ipi ni best zaidi kuanza nayo
nilikuwa nataka nianze kufanya kile chochote nachoona ni sahihi kuanza nacho lakini naona bado kuna vitu nahitaji kujifunza zaidi kwa watu wenye uzoefu
 
sele255

JF-Expert Member
Sep 25, 2016
241
250
Uko kwanza utapoteza pesa, kuna vitu vya kufanya kabla ya kuanza huko, ukilipia mfano ukilipia $2 (jumla $ 14) kwa wiki ,utaonekana ndani ya hio wiki kisha utapotea.Ukitaka ushauri na huduma njoo inbox package zinaanzia tsh.50000 tu ambazo zitakuboost kuliko kutangaza fb kwa wakati huu
 
LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
8,163

Tangaza tovuti.
 
Mapensho star

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
2,673
2,000
Uko kwanza utapoteza pesa, kuna vitu vya kufanya kabla ya kuanza huko, ukilipia mfano ukilipia $2 (jumla $ 14) kwa wiki ,utaonekana ndani ya hio wiki kisha utapotea.Ukitaka ushauri na huduma njoo inbox package zinaanzia tsh.50000 tu ambazo zitakuboost kuliko kutangaza fb kwa wakati huu
Kaka ni huduma gani unayotaka unipe kwanini usiweke wazi hapa hapa mkuu
 
Mapensho star

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
2,673
2,000
Hizi huwa zinaenda pamoja ndo mana kuna sehemu kwenye facebook page hako kuna sehem unatakiwa uweke site yako kama unayo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilichokuwa nahitaji kujua kipi kinaweza kuleta matokeo makubwa zaidi kuboost site au kuanza kutangaza page ipate watu wengi

link ya site tayari ipo kwenye page fb lakini kuna option fb wanakupa unaweza ukaboost site mtu akiona anaingia moja kwenye link ya site uliyoboost
zipo kampuni zinatoa huduma ya SEO kwa gharama kubwa hivyo sijajua hii huduma kama zinaweza kuleta matokeo
 
C_O

Member
Jan 3, 2019
54
125
Habari zenu wadau
Nina tovuti ya kuuza na kununua sasa ipo kwa mda kidogo kama miezi saba na ina google adsence
sasa imefika muda nataka nianze kuitangaza kwenye social Network ili iwe maarufu kwa mkoa mmoja tu watu waanze kuweka matangazo kutangaza bidhaa zao ili niwachaji pesa au nisimame mimi mwenyewe kama dalali vyovyote biashara itakavyokuwa kati ya hayo mawili
sasa sina uzoefu sana kutangaza kwa kulipia matangazo faceboook
Nina mambo mawili nayafikiria kuyafanya kati ya haya
1.kupromote facebook page kwanza
2.kupromote tovuti kwanza then watu watalike page wenyewe
naombeni mawazo kati ya hayo mawili ipi ni best zaidi kuanza nayo
nilikuwa nataka nianze kufanya kile chochote nachoona ni sahihi kuanza nacho lakini naona bado kuna vitu nahitaji kujifunza zaidi kwa watu wenye uzoefu
Nazani jibu la swali lako lipo kwako haswa maana unaweza boost tovuti yko ukapata visitors lakn sio targeted one na wakawa wengi tu afu hawabring revenue yeyot..

Nazani chakwanza define who is your customers ni watu wa aina gani either age education level na vitu vingne zen itakupa urahisi kujua uu advertise wap
 
Healer2

Member
Mar 4, 2018
68
125
Kwa ushauri wangu ungetangaza kwanza Fb Page, Kama ukianza kutangaza tovuti inamana mtu atakapoona tangazo ataingia kwenye tovuti akitoka atasahau kurudi tena au hata akirudi ni mara moja kwa bahati.

Unajua ni kwanini nakwambia uanze kutangaza Fb page?
Mfano ukitangaza watu wa like inamaanisha kuwa wale walio like page yako tayari ni watu wako! Mfano ukatangaza mpaka ukapata ukapata like 40K hapo tayari unamtaji mkubwa wa watu wakutembelea tovuti yako. Bada ya hapo wewe itakuwa kazi imebaki kuwatoa kwenye page na kuwapeleka kwenye tovuti, ni kazi rahisi, wewe ni kupost deals zilizopo kwenye site kisha unawapa link wanaelekea huko. Hapo watakuwa wanarudi kila siku na kucheki update ya site yako. Ili kutowapoteza jaribu atleast kilasiku kuwe na update kwenye page.
 
andoza

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
1,754
2,000
Habari zenu wadau
Nina tovuti ya kuuza na kununua sasa ipo kwa mda kidogo kama miezi saba na ina google adsence
sasa imefika muda nataka nianze kuitangaza kwenye social Network ili iwe maarufu kwa mkoa mmoja tu watu waanze kuweka matangazo kutangaza bidhaa zao ili niwachaji pesa au nisimame mimi mwenyewe kama dalali vyovyote biashara itakavyokuwa kati ya hayo mawili
sasa sina uzoefu sana kutangaza kwa kulipia matangazo faceboook
Nina mambo mawili nayafikiria kuyafanya kati ya haya
1.kupromote facebook page kwanza
2.kupromote tovuti kwanza then watu watalike page wenyewe
naombeni mawazo kati ya hayo mawili ipi ni best zaidi kuanza nayo
nilikuwa nataka nianze kufanya kile chochote nachoona ni sahihi kuanza nacho lakini naona bado kuna vitu nahitaji kujifunza zaidi kwa watu wenye uzoefu
Kwanza kabisa unapotaka kutangaza biashara yako mtandaoni unatakiwa uwe na lengo-Target ambayo inaweza kuwa ni More visitors?More Likes?Engagement?Sign Up?Sales?Downloads ama ni combination ya Vyote?
Pili inategemea na Budget yako?Umepanga kutumia kiasi gani cha Pesa Kufanya Matangazo yako?
Tatu ni muda una mpango wa kufanya kampeni yako kwa muda gani?
Baada ya kuwa na majibu ya uhakika kuhusu hayo ndo unaweza kutengeneza Kitu kinaitwa Digita Marketing Strategy ambayo ndio itakuuongoza katika kufanya matangazo yako na kuhakikisha kuwa unatengeneza angalau faida na huku ukififkia malengo yako.

Mimi ni mtaalamu wa kutengeneza Digital Marketing Strategy za kipindi mbali mbali kama vile.1 Weekly Strategy,Monthly Strategy,Quarterly Strategy and annual Strategy.Kama Unahitaji huduma hio tunaweza kuwasiliana zaidi

Karibu Sana na Kila heri
 
andoza

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
1,754
2,000
Mimi nilichokuwa nahitaji kujua kipi kinaweza kuleta matokeo makubwa zaidi kuboost site au kuanza kutangaza page ipate watu wengi

link ya site tayari ipo kwenye page fb lakini kuna option fb wanakupa unaweza ukaboost site mtu akiona anaingia moja kwenye link ya site uliyoboost
zipo kampuni zinatoa huduma ya SEO kwa gharama kubwa hivyo sijajua hii huduma kama zinaweza kuleta matokeo
SEO sio lazima uanze na kulipia za gharma kubwa tunaweza kukufanyia optimazation ya tovuti yako kwa gharama nafuu sana
 
andoza

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
1,754
2,000
Nazani jibu la swali lako lipo kwako haswa maana unaweza boost tovuti yko ukapata visitors lakn sio targeted one na wakawa wengi tu afu hawabring revenue yeyot..

Nazani chakwanza define who is your customers ni watu wa aina gani either age education level na vitu vingne zen itakupa urahisi kujua uu advertise wap
Jibu ni kuwa na Digital Marketing Strategy ambayo itahakikisha anapeleka Pesa Yake Sehemu Sahihi na kwa faida sahihi
 
Aug 6, 2013
61
225
Habari zenu wadau
Nina tovuti ya kuuza na kununua sasa ipo kwa mda kidogo kama miezi saba na ina google adsence
sasa imefika muda nataka nianze kuitangaza kwenye social Network ili iwe maarufu kwa mkoa mmoja tu watu waanze kuweka matangazo kutangaza bidhaa zao ili niwachaji pesa au nisimame mimi mwenyewe kama dalali vyovyote biashara itakavyokuwa kati ya hayo mawili
sasa sina uzoefu sana kutangaza kwa kulipia matangazo faceboook
Nina mambo mawili nayafikiria kuyafanya kati ya haya
1.kupromote facebook page kwanza
2.kupromote tovuti kwanza then watu watalike page wenyewe
naombeni mawazo kati ya hayo mawili ipi ni best zaidi kuanza nayo
nilikuwa nataka nianze kufanya kile chochote nachoona ni sahihi kuanza nacho lakini naona bado kuna vitu nahitaji kujifunza zaidi kwa watu wenye uzoefu

Mkuu wewe unahitaji sales funnel.
Maswali muhimu ya kujiuliza unapotaka kuaandaa sales funnel kwaajili ya kuuza product au service zako haya hapa yajibu then tuendelee.

1. Who Is Your Dream Customer?
Example:
I want to work with small businesses that make between $1 million and $3 million dollars per year.

Answer:
.............................................

2. Where Are Your Dream Customers?
Example:
They are on Facebook, and email lists of small business owners or they on yotube, facebook.

3. What Bait Are You Going To Use To Attract Them?
I’m going to use my book “108 Split Tests” as bait to get them into my funnel.

4. Where Are You Going To Take Them?
I can serve them the best if they work one on one with me and come to my mastermind 3X per year.
 
Mapensho star

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
2,673
2,000
Nazani jibu la swali lako lipo kwako haswa maana unaweza boost tovuti yko ukapata visitors lakn sio targeted one na wakawa wengi tu afu hawabring revenue yeyot..

Nazani chakwanza define who is your customers ni watu wa aina gani either age education level na vitu vingne zen itakupa urahisi kujua uu advertise wap
Kwanza kabisa unapotaka kutangaza biashara yako mtandaoni unatakiwa uwe na lengo-Target ambayo inaweza kuwa ni More visitors?More Likes?Engagement?Sign Up?Sales?Downloads ama ni combination ya Vyote?
Pili inategemea na Budget yako?Umepanga kutumia kiasi gani cha Pesa Kufanya Matangazo yako?
Tatu ni muda una mpango wa kufanya kampeni yako kwa muda gani?
Baada ya kuwa na majibu ya uhakika kuhusu hayo ndo unaweza kutengeneza Kitu kinaitwa Digita Marketing Strategy ambayo ndio itakuuongoza katika kufanya matangazo yako na kuhakikisha kuwa unatengeneza angalau faida na huku ukififkia malengo yako.

Mimi ni mtaalamu wa kutengeneza Digital Marketing Strategy za kipindi mbali mbali kama vile.1 Weekly Strategy,Monthly Strategy,Quarterly Strategy and annual Strategy.Kama Unahitaji huduma hio tunaweza kuwasiliana zaidi

Karibu Sana na Kila heri
Nazani jibu la swali lako lipo kwako haswa maana unaweza boost tovuti yko ukapata visitors lakn sio targeted one na wakawa wengi tu afu hawabring revenue yeyot..

Nazani chakwanza define who is your customers ni watu wa aina gani either age education level na vitu vingne zen itakupa urahisi kujua uu advertise wap
Asanteni wadau nimejifunza mengi nita wapm kwa msaada zaidi
 
  • Thanks
Reactions: C_O

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom