Majanga kweli Bongo ni Mengi, maelezo yako yana mkanganyiko,unaitaji uber mwenye No akupe uipige,alafu tena unadai huna simu umeibiwa , sasa unampigia kwa namna gani na je hapo ulipo kama una Access mpaka umeweza ingia jamii forum inamaanisha una simu nzuri tu,sasa mimi najiuliza maswali mengi...