Kununua gari kwa mkopo niende wapi Dar? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kununua gari kwa mkopo niende wapi Dar?

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Futota, May 12, 2011.

 1. Futota

  Futota JF-Expert Member

  #1
  May 12, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  ndugu wana JF, nataka kununua gari dogo (used) nina US $ 3,000 mkononi ambazo naweza kutoa kama downpayment katika mkopo na kulipa kidogo kidogo kwa mwezi kiasi fulani hadi kumaliza deni la manunuzi. nahitaji gari dogo (sedan) ili nifanye biashara ya taxi, driver mwenyewe.
  hapa dar nifike yard gani/ wapi wenye kukubali deal ya namna hii?
  labda pia nitahitaji nini zaidi kufanikisha hili?
  asanteni sana kwa ushauri
   
 2. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #2
  May 12, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Nitarudi, ngoja nifuatilie!
   
 3. Juaangavu

  Juaangavu JF-Expert Member

  #3
  May 12, 2011
  Joined: Nov 3, 2009
  Messages: 916
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Fika Conti car, barabara ya azikiwe opposite na holiday inn, masharti mengine utapewa hapo kama utayamudu waweza fanikiwa
   
 4. Futota

  Futota JF-Expert Member

  #4
  May 13, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  nashukuru, nitapatembelea
   
 5. z

  zamlock JF-Expert Member

  #5
  May 13, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  toa mawasiliano yako tukupigie kwa sababu hata mimi na carina Ti nilichukua ya mkop hyo pesa uliyonayo nyingi utafanikiwa pale uero camission agent na kama utahitaji nikupeleke ndipo utafanikiwa haraka kwa sababu boc wao ni rafiki yangu, alafu jamaa asumbui hata ukiwa umekwama kulipa na mwenzio nimeshamaliza kulipa nataka kumchukulia mama watoto wangu ingine safi sana weka mawasiliano tukupigie
   
 6. Futota

  Futota JF-Expert Member

  #6
  May 13, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  nirahisi zaidi kwa mimi kuku contact wewe.
  au nipe contacts za huyo agent (euro...), naweza kwenda binafsi
  shukrani!
   
 7. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #7
  May 13, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  nimevutiwa na maelezo yako, nami nimetamani nipate hapo moja next month nitakuwa na 3m ya down payment hiyo uero camission agent ipo sehemu gani.
  thanks
   
 8. z

  zamlock JF-Expert Member

  #8
  May 13, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  sawa nenda maeneo ya kamata kariako uliza uero camission agent panafahamika sana ngoja nitawawekea number zake natumia simu hapa kwenye net
   
 9. z

  zamlock JF-Expert Member

  #9
  May 13, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  ni email kwa pressdown@hotmail.com tutaonana alafu nitakupeleka
   
 10. T

  TAITUZA Member

  #10
  May 13, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Namba za cmu hamtak kutoa,nyie vp inakuwa kama mnataka kufanya biashara ya kuuziana unga?
   
 11. Futota

  Futota JF-Expert Member

  #11
  May 16, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  thanks,
  nitakuandikia
   
 12. Mrbwire

  Mrbwire Senior Member

  #12
  May 16, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 197
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Panahitajika uwazi zaidi wakuu... kuwasiliana kwa email huwanufaisha wawili tuu lkn unapoweka mambo jamvini unawasaidia wengi. Mkubwa CHOMETE hebu twambia wazi kwa sababu wewe ulishakopa tayari:
  (1) Masharti gani yanahitajika kwa mkopaji?
  (2) Je panakuwa na interest katika malipo unayoyamalizia baada ya kutoa down-payment? kama interest ipo ni % ngapi?
  (3) Dhamana ya mkopo ni nini? Au ndo hivyo unapaswa kwenda na mtu anayefahamika hapo Euro?

  Asante!
   
 13. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #13
  May 17, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  well said
   
 14. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #14
  Jan 16, 2014
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,296
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  mkuu funguka watu wengi zaidi wafaidike
   
 15. M

  Mtendaji wa kaya JF-Expert Member

  #15
  Mar 16, 2014
  Joined: Mar 16, 2014
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  toeni contacts
   
 16. s

  sister act Member

  #16
  Mar 16, 2014
  Joined: Jan 3, 2014
  Messages: 40
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Toa no ya cm mkuu. Mambo ya email tena?
   
 17. M

  Mtendaji wa kaya JF-Expert Member

  #17
  Mar 16, 2014
  Joined: Mar 16, 2014
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  nahitaji hata kama ni ya mtu iko used tuongee tuelewane
   
 18. B

  BRN JF-Expert Member

  #18
  Mar 17, 2014
  Joined: Nov 18, 2013
  Messages: 959
  Likes Received: 419
  Trophy Points: 80
  Dhamana hapo naona itakuwa kadi ya gari..yaani hupewi hadi umalize deni.
   
 19. kevin isaya

  kevin isaya JF-Expert Member

  #19
  Jul 18, 2014
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 1,079
  Likes Received: 1,095
  Trophy Points: 280
  chomotee mimi nipgie kwa 0718868029 sure nahtaj gari kwa mkopo
   
 20. headson

  headson Member

  #20
  Mar 14, 2015
  Joined: Jan 25, 2014
  Messages: 14
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 5
  Nami naitaji mkopo wa Gari naombeni kujua utaratibu nini cha kufanya ama niende wapi.no zangu ni 0653670252
  ,Ahsanteni
   
Loading...