Recent content by hazingwa

  1. H

    JamiiForums Tanzania Serikali yafuta fao la kujitoa katika mifuko ya hifadhi ya jamii

    Inasikitisha sana katika familia zetu tuna wazee tunahangaika nao sisi wenyewe hatujawahi kupata au kuomba msaada kwa mtu au taasisi yyte ile Hii sio haki ni dhulma kwa wafanyakazi wanyonge ambao wanalipwa mishahara midogo na kushindwa kujiwekea akiba na leo akiba alinayo kwenye mifuko ya jamii...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la wadada wanaohitaji ndoa nini tatizo?

    Tatizo ni hili kama maziwa nayapata kwanini nifuge ng'ombe nipate usumbufu!
  3. H

    JamiiForums Tanzania Ushahidi: Jinsi waliosaidia CCM kwenye uchaguzi mkuu 2015 wanavyoteseka

    Uvivu wa kufikiri inamaana kwa hayo waliyoyafanya ndio iwe halali kwa wao kuvunja sheria na kutenda yasiyofaa au walifanya hayo ili wasiguswe na sheria pindi wanapotenda uhalifu?
  4. H

    JamiiForums Tanzania Polepole aubomoa upinzani Kilimanjaro

    America na ulaya mbona mbali sana hata zenj hapo huwezi kusikia ndugu
  5. H

    JamiiForums Tanzania Mzigo wa Korosho kutoka Tanzania wakutwa na mawe nchini Vietnam

    Ni aibu kubwa na ndio sababu kubwa ya bidhaa zetu kukosa masoko nje. Sijui ujinga huu utatuisha lini watanzania watu wanaangalia kupata leo tu hawaangalii madhara ya kufanya hivyo nini kitatokea kesho. Binafsi nachukizwa sana na tabia hii mimi nafanya kazi katika kampuni ya ununuzi wa mazao...
  6. H

    JamiiForums Tanzania samsung galaxy note 4 used inauzwa

    Ipo 270,000/ ndugu kama inafaa tufanye biashara
  7. H

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya wanafunzi 300 wameweka kambi nje ya ofisi za bodi ya mikopo

    Wapo wanafunzi ambao tunawafahamu wamepewa mikopo ilihali wazazi nawalezi wanaouwezo wakuwalipia ada kwani wamewasomesha kwa ada kubwa secondary mpaka millioni 8 kwa mwaka pia wapo wanafunzi ambao walipiga simu bodi ya mikopo na kuulizia kama majina yao yameshaorodheshwa kupewa mkopo na...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya wanafunzi 300 wameweka kambi nje ya ofisi za bodi ya mikopo

    Inasikitisha na inauma sana vijana kukosa mikopo hivi vigezo sijui vinaangaliwa kwa kipimo gani sababu
  9. H

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Sitaongeza mishahara kwa Watumishi wa Umma mpaka uzalishaji uongezeke

    Katika hili mheshimiwa rais yuko sahihi namuunga mkono kwa 100% Wafanyakazi wengi katika maeneo mengi ufanisi bado ni mdogo ingawa kunamabadiliko kiasi fulani ongezeni juhudi
  10. H

    JamiiForums Tanzania Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

    Fukuza takataka hiyo kosa hilo halihitaji ushauri wala msamaha kinachotakiwa ni ushahidi uliokamilika na kufanya maamuzi basi Sent using Jamii Forums mobile app
  11. H

    JamiiForums Tanzania Professor Lipumba unatuharibu vijana wako

    Katika imani na mafundisho ya kidini tunaambiwa dhambi ya unafiki na usaliti ni mbaya kuliko dhambi ya kuua nafsi Ataiuwa cuf lakini hatoweza kufuta kile ambacho wana cuf wamekiamini na kukisimamia Sent using Jamii Forums mobile app
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kutana na vijana waliowahi kulala usingizi wa miaka 309 nchini Jordan

    Shukran M/Mungu akulipe Sent using Jamii Forums mobile app
  13. H

    JamiiForums Tanzania Kipigo walichokipata CHADEMA kwenye Sakata la Mchanga, Kitaipeleka Kaburini Moja kwa moja

    Mwenye macho ha ambiwi tazama mleta uzi jitafakari waliosaini na waliopitisha kwa wingi wao wa ndio bado unathubutu kuisema chadema
  14. H

    JamiiForums Tanzania Gazeti la NEWAFRICAN: Heshima ya Tanzania yaanza kurudi

    Ni heshima kubwa kwa nchi yetu kupata kiongozi mzalendo kama rais wetu mh. John P. Magufuli Binafsi umri wangu wa kupiga kura ulianza mwaka 95 ambao ulikuwa uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi nikiwa muumini mtiifu wa mabadiliko kwa chaguzi zote Binafsi baada ya kuguswa na utendaji wa rais wetu...
  15. H

    JamiiForums Tanzania SWALI: Hivi wale wazungu wa Barrick Gold mine waliokwenda Ikulu walikuwa ni wanawake?

    Wamejileta maabunuasi
Back
Top Bottom