Kipigo walichokipata CHADEMA kwenye Sakata la Mchanga, Kitaipeleka Kaburini Moja kwa moja

Upotoshaji huu kwa watanzania haujawahi kuiacha nchi salama. Tupunguze propaganda tunaliumiza taifa na wachache kunufaika. Iko siku tutaulizwa hapa hapa duniani na malipo yake ni hapa hapa.
 
Tutashitakiwa Tutashitashitakiwa
mtashitakiwa kweli endapo mtakaa kwenye majadiliano mkaenda kuikataa mikataba yenu iliyopitishwa na wabunge wa ndiyoooo.. lazima mshitakiwe kwani nyinyi mlipitisha mikataba mibovu makusudi ili baada mpige 10% huku mkijua ipo siku kitanuka msipoelewana mtashitakiana na Wajanja wa CCM napo watapiga pesa, yaani CCM kote wanapiga pesa kwenye kushitakiana wanajua wazungu watashinda kulingana na mikataba mibovu huko pia Wajanja wa CCM wana 10% zao na kwenda malidhiano pindi wakikaa vikao napo CCM wana 10% zao hakuna sehemu CCM hawapigi pesa, Daud Bashite yupo busy kuandaa skendo na matukio mbalimbali ili watanzania wamsahau apete Mpaka 2020
 
hivi ni nani aliingia mkataba kusafirisha huo mchanga??
1.Chenge
2.Kikwete
3.Karamagi
4.Ngereja
5.Mkapa
6.Muhongo

Fukueni na la kuuza nyumba za serikari!! au mpaka astaafu???
Wanafiki hawathubutu kufukua uozo hata siku moja maana waliyavundisha wenyewe sasa wanayaogopa na kutuletea viini macho huku wakitaka tuamini hata visivyoaminika.
Kuamini kauli za viongozi wa CCM inataka mtu ujitoe akili na ufahamu kwanza.
 
Mnahangaika kumjibu mtu mwenye ID inaitwa Troll! Hivi mnajua maana ya neno Troll? Mpuuzeni kama hewa chafu tu!
 
Hivi hii vita ilikuwa dhidi ya Chadema?

Huu nduo ugonjwa unaotuuwa Watz..

Pale linapokuwa jambo la kitaifa sisi tunafanya mtaji wa kisiasa...
 
Huku Mtaani CHADEMA wamekosa Umaarufu mtaani wameshapata Usemi kuwa CHADEMA Wanashirikiana na Mafisadi.

Hivi karibuni ripoti za Mchanga zimekifuta chama cha CHADEMA and bouncing back is Unlikely na Uchaguzi wa 2020 mtapoteza Wabunge wengi na 2025 chama kitakua kimesahaulika miongoni mwa watanzania.

Nawashukuru wananchi wanamuunga Mkono Rais Magufuli kwa juhudi zake za Kulinda Rasilimali za Nchi.
View attachment 525537
Hivi huna kitu chakufanya? Kila siku kutwa unahangaika kwenye mitandao!

Weka basi hata thread zamaendeleo? Nimajungu tu? Hua hujisikii hata vibaya kwamambo ya kijinga kila siku?
 
Unatia huruma wewe mikataba muweke nyie kelele mpige nyie sii bure ndo maana mwenyekiti alikua anauliza nani alie waloga?!
 
hivi ni nani aliingia mkataba kusafirisha huo mchanga??
1.Chenge
2.Kikwete
3.Karamagi
4.Ngereja
5.Mkapa
6.Muhongo

Fukueni na la kuuza nyumba za serikari!! au mpaka astaafu???
Mkuu kutoa mlolongo wa viongozi sio kujibu hoja ilio mezani.
 
Huku Mtaani CHADEMA wamekosa Umaarufu mtaani wameshapata Usemi kuwa CHADEMA Wanashirikiana na Mafisadi.

Hivi karibuni ripoti za Mchanga zimekifuta chama cha CHADEMA and bouncing back is Unlikely na Uchaguzi wa 2020 mtapoteza Wabunge wengi na 2025 chama kitakua kimesahaulika miongoni mwa watanzania.

Nawashukuru wananchi wanamuunga Mkono Rais Magufuli kwa juhudi zake za Kulinda Rasilimali za Nchi.
View attachment 525537

Upo sahihi kabisa, hata mimi nawashangaa Chadema kwa kusaini

Mikataba mibovu kwa ya kuibia nchi hawafai hata kidogo.
Kukataa ushauri wa ccm wa kuleta mikataba na sheria za madini kufanyiwa review bungeni.
Mawaziri wa chadema kwenda kusaini mikataba nje ya nchi bila hata kusoma inasemaje. kweli Chadema wametusababishia hali ngumu kwa kipindi chote walichoongoza nchi tangu uhuru hadi leo.
 
Mwenye macho ha
ambiwi tazama mleta uzi jitafakari waliosaini na waliopitisha kwa wingi wao wa ndio bado unathubutu kuisema chadema
 
Ndo tatizo lenu wa kujua kusoma na kuandika tuu ! Nyie kuambiwa malori sijui 300, na tafsiri ya uongo, tayari mmeanzakutafuta leseni ili mgawo wa Noah mnaoamini unakuja muweze kuendesha !
People with brains can't be fooled that easily na hizo episodes. Prof Muhongo mumsifie weeee halaf ghafla eti huyu ni uchwara ha ha ha nyie wa ubwabwa na buku 7 ndo mtaandamana na kujifungwa vibwebwe. Ready to meet and come up with a resolution that is a win win for both parties ndo kuwa wametubu na watalipa hela trilioni ha haha ha !!

Yaani mrude kiduku wenyewe kushangilia mikataba hii hii,mtume watu mikoani kuelezea jinsi itakavyoleta maisha bora kwa kila mdanganyika halaf leo nyie nyie mtuambie eti tulie na kupiga yowe tunaibiwa !! No way..

Hizi sinema tumeshazoea na zilivyo za poor quality miogo au mbatata zinafaa na sio popcorn.

Wezi hawakutanishwi bali wanaadhibiwa bana !! Hili changa la macho km lile la madawa ya kulevya...na Faru Joni..

Next....

Huku Mtaani CHADEMA wamekosa Umaarufu mtaani wameshapata Usemi kuwa CHADEMA Wanashirikiana na Mafisadi.

Hivi karibuni ripoti za Mchanga zimekifuta chama cha CHADEMA and bouncing back is Unlikely na Uchaguzi wa 2020 mtapoteza Wabunge wengi na 2025 chama kitakua kimesahaulika miongoni mwa watanzania.

Nawashukuru wananchi wanamuunga Mkono Rais Magufuli kwa juhudi zake za Kulinda Rasilimali za Nchi.
View attachment 525537
 
Huku Mtaani CHADEMA wamekosa Umaarufu mtaani wameshapata Usemi kuwa CHADEMA Wanashirikiana na Mafisadi.

Hivi karibuni ripoti za Mchanga zimekifuta chama cha CHADEMA and bouncing back is Unlikely na Uchaguzi wa 2020 mtapoteza Wabunge wengi na 2025 chama kitakua kimesahaulika miongoni mwa watanzania.

Nawashukuru wananchi wanamuunga Mkono Rais Magufuli kwa juhudi zake za Kulinda Rasilimali za Nchi.
View attachment 525537
Kweli aisee. Namuona Lisu anachechemea akijaribu kusimama lakini wapi. Zitto naye hivyo hivyo amebaki kukoroma tu.
 
Mwenye macho ha
ambiwi tazama mleta uzi jitafakari waliosaini na waliopitisha kwa wingi wao wa ndio bado unathubutu kuisema chadema
Reminder: Mrahaba waliosani maccm kwenye madini yetu ni 4% tu ndio gawiwo letu halali.

Hao ndio wazalendo wa ccm.
 
Back
Top Bottom