hakuna cha ku be exposed zaidi yako hapo wewe , ni katabia tu ka watu wengine ka kujiona mimi ninajua zaidi ya yule, japo in reality, hajui kitu ni mburura tuuu!!
duu!
hivi huu muungano wetu wa Tanganyika na Zanzibar sometimes mambo mengine hayaeleweki vizuri hivyo unaweza kuwa 'paradox'.
lakini kwa ufupi nilichoelewa hapo ni kuwa TRA inafanya zile kazi kwa tanzania yote lakini kwa zanzibar kuna hiyo ZRA pia ambayo ni mahsusi kwa zanzibar tu.
cha msingi kila mtu atimize wajibu wake. kwa bahati mbaya, kinyume na hapo ukitumbuliwa usidai kwa nini usitumbuliwe kistaarabu. but unaweza pia kutumbuliwa kimakosa. jua au chukulia ni ajali kazini. muda huo wa kutumbuana kistaarabu haupo, watu wako bize hapa, ni kazi tuuu!
kwa nini wewe...
Ofisi za ardhi Manispaa ya Mtwara mikindani ni jipu la kupasuliwa haraka kwa kuwa limeiva.
Hawa jamaa wanadai rushwa balaa! Kwa mfano ukitaka ufanyiwe kazi yako lazima utoe pesa, huwezi kufuata taratibu zilizopo ukafanikiwa kwa kuwa watakukwamisha tu...
Ni kuanzia vitengo vyote kwa kuwa...
serikali ifanye uamuzi haraka wa kuitisha kikao cha dharura cha bunge au baraza la mawaziri kujadili suala hili ili tujikwamue.
hawa wazungu wanafiki wameshaamua kuharibu, lazima tujue tutatokaje hapa.
pamoja na kuwa hii misaada yao ni ya muhimu, lakini kuwanyenyekea hawa wazungu ina karaha jamani nyie acheni tu!!
wanatudharau sana.Watanzania tufanye kazi kwa bidii tuachane na utegemezi jamani, watatuingilia mambo yetu mpaka basi.
hawa wazungu ni wanafiki wakubwa, kama umegundua unafiki wao...
Naombeni wadau kuuliza kama kuna utaratibu wowote wa kuanzisha nyumba za ibada maeneo mbalimbali.
Nasema hivi kwa kuwa kwa sasa mtu ukiamua hata kufungua kanisa au msikiti sebuleni mwako watu wanakuja wanapata ibada.
Mimi naona kama ni kero kuwa kwa jamii kwa sasa.
Ni kwanini miji mingi hapa Tanzania kuna maeneo mengi yamejengwa kiholela?
Nadhani serikali imeajiri maafisa ardhi katika Halmashauri. Je, kazi yao ni nini?
Miji mingi haipendezi, imejengwa kiholela sana.
Mfano, DSM ukiona maeneo mengi utadhani ni mahindi yamechanganywa na kunde, maharage...
Changamoto mojawapo inayotakiwa kushughulikia kwa gharama yoyote ni kuhusu hujuma zinazofanywa na haya mashirika ya ndege ya nchi jirani dhidi ya mashirika ya ndege hapa TANZANIA.
Wengi mtakubaliana na mimi kuwa, si kwa mashirika ya ndege tu hujuma hizi zinafanyika, bali hata viwanda mbalimbali...
haya mambo ni magumu sana!
katika uchaguzi wa mwaka jana nimejifunza mambo mengi, lakini moja kubwa ni kuwa watanzania tunahitaji umoja, mshikamano wetu tuulinde kwa gharama yoyote.
watu kadhaa walijitahidi na wanaendelea kujitahidi kuwagawa watu kwa itikadi za kisiasa, ukabila, udini, ukanda...
katiba mpya sidhani kama ni kipaumbele cha serikali hii iliyopo madarakani!
But ni kitu cha msingi kama watanzania wanaona umuhimu wa katiba mpya basi wangepewa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.