Kazi imeisha: Ugandan experts explain choice of Tanzania for pipeline route

Kop

Senior Member
Oct 17, 2012
178
337
THE recommended Tanzanian route for a planned key pipeline from Uganda will allow that country to start exporting its crude oil to the world market via the Indian Ocean by mid-2020, while an alternative route through Kenya would take the project until at least 2022 to complete, Ugandan technocrats have explained.

A leaked official report following recent negotiation meetings in Kampala has further confirmed that the Ugandan experts decided on the Tanzanian route to the port of Tanga as by far a better option than the Kenyan one to the port of Lamu.

Both Ugandan and Kenyan media outlets yesterday cited the document, dated April 11 this year, as proof that Tanzania had been chosen for the pipeline despite spirited lobbying by a Kenyan delegation that was camped in Kampala since last month.

“The comprehensive analysis of the different options, studies and due diligence results has been completed.

The Kabaale (Uganda) - Tanga route is the only option to secure first oil export by mid-2020, with pipeline availability of 99 per cent,” the experts’ report was quoted as saying.

According to the permanent secretary in the Ministry of Energy and Minerals, Prof Justin Ntalikwa, who was part of the Tanzanian delegation to the Kampala talks, the proceedings began with a meeting of the respective technical committees from all three countries involved (Uganda, Tanzania, and Kenya).

This was followed by another meeting involving the permanent secretaries of the ministries responsible for energy matters from the three countries, and finally a meeting of the ministers themselves, Prof Ntalikwa told The Guardian last week.

The official submission and signing of the contract for pipeline construction to commence will take place during the East African Community (EAC) Heads of State summit which begins tomorrow in Kampala, the PS said.

The wrangle between Tanzania and Kenya for the potentially lucrative pipeline project has been simmering since early March when President John Magufuli and his Ugandan counterpart Yoweri Museveni announced that they had reached a concrete deal on the matter.

This was followed days later by a formal assurance from one of the key sponsors - the French oil firm Total – that the funds needed for the project (around $4 billion) was already available for construction to begin as soon as everything was all set.

Kenyan authorities were obviously not very happy with these rapid-fire developments, especially since Uganda had earlier been in tentative talks with them over the same pipeline deal.

It has since transpired that serious security issues, the extraordinarily rough Rift Valley terrain, and land acquisition hurdles had also been tagged as major disadvantages of the proposed Kenyan route.

The pipeline is thus set to link rich oil fields in land-locked Uganda’s Lake Albert basin with the Indian Ocean coast via Tanga, creating an estimated 1,500 direct and 20,000 indirect jobs while increasing Foreign Direct Investment (FDI) to Tanzania by more than 50 per cent per annum.

Upon completion, it will have the capacity to transport up to 200,000 barrels of oil per day, according to the project blueprint.

It is estimated that there are about 6.5 billion barrels of oil accessible in Lake Albert, with 1.4 -1.7 billion barrels already confirmed as recoverable and available for transportation.
 
welldone!
hongereni watanzania japo deal lilishaanza kutiwa mchanga na wakenya kama kawaida yao. hawa majirani zetu wanatuandama sana! sijui tuliwakosea nini.
 
welldone!
hongereni watanzania japo deal lilishaanza kutiwa mchanga na wakenya kama kawaida yao. hawa majirani zetu wanatuandama sana! sijui tuliwakosea nini.


Nafikiri hauko sahihi hapa kuwalaumu Wakenya, kwani hapa ambao waliowaharibia mchakato wenzao ni sisi na siyo wakenya kwani Wakenya na Waganda walianza zamani sana huu mpango kujenga Bomba la Mafuta ila sisi ndiyo tumeingilia na ndiyo maana kinawauma sana Wakenya!

Hivyo ni vizuri kuelewa historia ya hili Bomba kwanza kabla ya kulaumu!

Hata hivyo nina furaha isiyo na kifani hili Bomba kupita kwetu na nasema Hogera Raisi Magufuli, Hongera Waziri Muhongo na timu yako!
 
MK254 pole. Ila nakusifu kwa uzalendo wako kwa nchi yako, japo kwa unyang'au wa kenya hata lingepita kwenu usingefaidika!
 
Sidhani kama hii ingewezekana kama JK bado ni rais. Watu wanatazama pia seriousness ya leadsership, kupambana na wizi na ufisadi na mambo mengine ambayo zaidi ni politics (nadhani kuna aina ya beef baina ya Total na Kenya). Lakini kwa ujumla, kwa kweli sifa ziende kwa Maghufuli kwa ku secure deal hii ambayo hata kama hatafanya kitu kingine chochote, itapita yooote aliyoyafanya JK kwa uchumi wa TZ ukitazama faida ya moja kwa moja katika uchumi wa TZ. Sasa imebaki tu JPM atoe tamko Watanzania wachape kazi wakiajiriwa huko ili bomba likamilike katika miaka mitatu na si minne. Inawezekana.
 
Nafikiri hauko sahihi hapa kuwalaumu Wakenya, kwani hapa ambao waliowaharibia mchakato wenzao ni sisi na siyo wakenya kwani Wakenya na Waganda walianza zamani sana huu mpango kujenga Bomba la Mafuta ila sisi ndiyo tumeingilia na ndiyo maana kinawauma sana Wakenya!

Hivyo ni vizuri kuelewa historia ya hili Bomba kwanza kabla ya kulaumu!

Hata hivyo nina furaha isiyo na kifani hili Bomba kupita kwetu na nasema Hogera Raisi Magufuli, Hongera Waziri Muhongo na timu yako!
Your flashback memory is alive. Keep it up. Nakukubali, uko vizuri.
 
welldone!
hongereni watanzania japo deal lilishaanza kutiwa mchanga na wakenya kama kawaida yao. hawa majirani zetu wanatuandama sana! sijui tuliwakosea nini.
Hapana wala huwezi kuwalaumu wakenya katika hili.Wakenya ni werevu kuchangamkia fursa popote inapotokea na kwa kweli wapo vizuri kuchungulia fursa hata kukuendea kichini chini na kuipokonya fursa bila kujali hatua iliyofikiwa na hii inakubalika.Unafahamu sisi tulilemazwa zaidi na siasa za kijamaa na matokeo hadi leo hata kama hatutendi kijamaa ila ni siasa katika kila jambo.Tukipanga mradi utekelezaji huanza baada ya miaka mitano au zaidi au kutotekelezwa kabisa.Wakati tunakuja kuzinduka gharama za mradi zilishapanda nara tano au zaidi.Wenzetu wakiamua kujenga k.m.daraja huanza mara moja na huepuka sana urasimu usio na maana kuepuka kupanda gharama.Utaalam wa wataalamu wao huheshimiwa tofauti na kwetu ambako mwanasiasa tu anaweza kushauri jambo la kitaalamu na likakubalika.Angalieni hata bungeni mtaalamu atatoa maelezo kitaalamu na kuishia kuzomewa na wanasiasa ambao ni wabunge.Angalia nchi ambazo hazikuuptia ujamaa ukianza na Kenya,Uganda,Rwanda n.k.na wenzetu tunaosema mataifa yaliyoendelea mtaalamu kwa utaalamu wake huheshimika sana na hulipwa sana pia.Katika uwekezaji wowote kama huu wa bomba la mafuta nchi au kampuni husika kwa kutumia wataalam wao na haswa uwekezaji Africa huangalia kwanza usalama wa nchi husika(stability) siasa za nchi husika na hapa nchi zenye sheria za kubinafsisha mali za watu na wawekezaji hawatawekeza hapo na pia wataangalia usalama wa miundo mbinu iliyopo,umeme na maji n.k.Waliokaa Kampala majuzi ni ngazi mbali mbali za wataalamu wa nchi hizo ikiwemo Kenya na Tanzania na wenyeji Uganda.Nao waliangalia pia mapendekezo ya wataalamu upande wa wawekezaji.Upande wa wawekezaji walikuwa tayari kulijenga bomba lipite Kenya au Tanzania na katika mapendekezo kwa makampuni yao walisema bomba likipita Tanzania ni nafuu na salama zaidi kulipeleka Uganda kuliko kulipitisha Kenya.Sababu kubwa walizotoa upande wa Kenya ni kuongezeka gharama za ujenzi kutokana na bonde la ufa(rift valley)na wasiwasi wa bomba kushambuliwa na magaidi wanaoihujumu Kenya toka Somalia na bomba lingeweza kushambuliwa na magaidi haswa kuanzia Lamu.Hiyo ni sababu kubwa sana hata kwa Uganda kwani nao hawaki bomba lihujumiwe mara kwa mara na hao magaidi hivyo wakakubali ni salama zaidi lijengwe Tanzania na hata hivyo uamuzi wa mwisho utatolewa na kikao cha k/kutwa cha wakuu wa jumuia Kigali nao wakiwemo.Ni wazi Tanzania ikiupata huo mtadi itakuwa imefaidika kiuchumi zaidi na hapa nasisitiza kama utasimamiwa vizuri dhidi ya mafisadi tulio nao na hata hivyo tutakuwa tumebebwa zaidi na mazingira zaidi ya ushawishi na haipo sababu ya kupongezana.
 
Back
Top Bottom