Tatizo hapa hakuna anayemwonea dongo Feisal. Shida ni namna anavyotoka na utaratibu alioutumia sio sahihi. Kumtafuta good pasture ni halali yake. Na wabongo tunatereza hapo tunapenda sana shortcuts. Ukiwa mtu wa kufuata taratibu utaheshimika vinginevyo unadharaurika na kuonekana wa hovyo tu.
Kuna hoja mbele yako ichangie kama una kitu cha kuchangia kama huna iache waachie wenye ujuzi na taarifa nayo waelimishe wengine na kutujuza tusio na taarifa nayo
Nadhani Putin ni Rais anayefaa kuigwa hababaishwi na vikwazo vyao US na EU. na atawasumbua sana wazungu wenzake. hajikombi kombi kama marais wa kiafrika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.