kunamschana flan unamfukuzia kwa mda mrefu kwel bila mafanikio.. Na mnakaa nyumba1 ambayo wote mmepanga! Na unampenda kuliko k2 chochote! Bt at end anaelekea kukubal... 1day ulbanwa na aja ndogo.ulvo enda toilet kujisaidia ukakuta bonge la aja kubwa pmbn. so ukaona so ishu bora kusepa hata bla...
kwanza wenyewa kwa wenyewa hawaelewan! Kama wazir wa elimu na Necta cos mpaka tm ii six hawajui watafanya mtian wao lin? Wazir alitngaza mwez wa 2 na shule hazjapata walaka znasema mtian wa 5! Upuuz mtup,, 2naumia 2lio chn
Ni kwel! MULUGO ambae ni wazir wa elmu alitangaza kua 4m6 na 4 wa mwaka uu haita wausu wao watafanya mtian wao kama kawa... Lakin nahis shule zina subir walaka rasm cos wanatumia waraka wa no5
Inavo themekana MULUGO alikosea kutoa ile kaul ya kua 4m6 hawausik katka uu mkumbo wa kubadlika kwa mihula! So 4m6 mtian mwez uleule wa5 na cmp zngine wa shapata na ratba tayar! Nan mwngne anajua?
Wazir wa elimu "MULUGO" Masaa machache yaliyopita ametangaza! 4m4 na 6 wa mwaka huu kuto ingia katika mkumbo wa kubadilika kwa mihula! 4m6 wa mwaka huu watafanya mtian wao mwez ule ule february!
Source; wazir wa elimu
hi imetokea baada ya shule za private kugoma! Nan ataghalamia miez io waliongeza! C unajua katolic akiongea nan atapinga! Especil seminal! Nimeflai japo wametuangaisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.