Form 6

Danp36

JF-Expert Member
Jul 31, 2010
2,097
920
Jaman,wiki iliyopita necta wametoa ratiba mtihan mwez wa 5,lakn kuna m2 kasema tbc walitangaza kuwa kuna mabadiliko kuwa walimu wakuu wameishawishi wizara,wameamua mtihan ufanyike february.kuna ukwel wowote hapa?.naomba mxaada wa kujibiwa.
 
Ni kwel! MULUGO ambae ni wazir wa elmu alitangaza kua 4m6 na 4 wa mwaka uu haita wausu wao watafanya mtian wao kama kawa... Lakin nahis shule zina subir walaka rasm cos wanatumia waraka wa no5
 
Back
Top Bottom