4m 6 shangwe! mwez uleule wa2

haroun, me pia nimeckia hvo bt y wanatufanyia hvo?

hi imetokea baada ya shule za private kugoma! Nan ataghalamia miez io waliongeza! C unajua katolic akiongea nan atapinga! Especil seminal! Nimeflai japo wametuangaisha
 
Wazir wa elimu "MULUGO" Masaa machache yaliyopita ametangaza! 4m4 na 6 wa mwaka huu kuto ingia katika mkumbo wa kubadilika kwa mihula! 4m6 wa mwaka huu watafanya mtian wao mwez ule ule february!
Source; wazir wa elimu
 
Taarifa hii ni ya kweli kabisa. TAARIFA HII NI YA KWELI IMETOLEWA NA NAIBU WAZIRI WA ELIMU BWANA MULUGO kwa vyombo vya habari. Kwa muda mrefu tangu waraka namba tano wa mwaka 2012 utoke kumekuwa na mkanganyiko mkubwa katika tasnia ya elimu: Wadau wa elimu walikuwa wanaihoji wizara, kwa nini mabadiliko ni ya ghafla kiasi hicho? Kwa nini mabadiliko haya yasianze kwa awamu na kuwaacha hawa vijana wa form six kumaliza mwezi wa pili? Gharama za chakula, malazi n.k. kwa ajili ya form six hao kwa miezi mitatu nani atalipa? Wanafunzi hawa watafundishwa nini ktk miezi mitatu baada ya kumaliza syllabus?
 
Kwa sasa nyaraka na ratiba zilizoko shuleni zisilete utata wowote. RATIBA YA FEBRUARI ifuatwe ile ya mwezi wa tano ipigwe chini. Sasa vijana pigeni msuli wa kufa mtu, maana pepa sasa iko njiani inakuja. Muda mlionao sasa unatosha kabisa kwenu nyie kujiandaa vema kwa ajili ya mitihani hii.
 
apa msuli kwenda mbele...
 
Back
Top Bottom