Recent content by hardboy

  1. H

    Kaniomba nimsindikize kwake alichonifanyia sitasahau

    Nenda kafungue kesi ya kubakwa. Halafu na wewe ulikuwa unamtamani huyo kaka. Kama ungekuwa hutaki asingeweza kukupanua. Unempanulia kwa kupenda.
  2. H

    Yaliyojiri kikao cha dharura UN kujadili Gaza

    Naomba kuuliza. Hivi! Kabla ya waiSrael kusambaratika na kuundwa upya kwa taifa hilo mwaka 1967 walikuwa wanaishi kwenye ardhi ipi?
  3. H

    Bandarini: TRA kupiga mnada makontena 20 ya Paul Makonda kwa kushindwa kulipa kodi

    Itakuwa ni bashite. Ingekuwa ni paul mwingine. Magu angeyaokota hayo macontana jana pale bandarini.
  4. H

    Prof. Mwandosya: Hongera Mhe.Joseph Mbilinyi (Sugu) kwa kuhitimu chuo cha uanasiasa

    Wa Msonga alikurupuka sana kumpa urais huyo jamaa.
  5. H

    Lusinde aiponda serikali

    Ccm Kule anakokwenda bwana mkubw na wao hufuatia. Hiyo ni bosheni tu kutuzuga.
  6. H

    Kauli tata za Ndugai Bungeni, ni wazi Ikulu inayumbisha Bunge. Adai wasilaumiwe mawaziri wanaletewa tu; nani analeta?

    Haya sasa misukule ya magu; njooni mumkosoe msukule mwenzenu. Kaamua kuwa mkweli kidogo.
  7. H

    Wabunge wa CCM hawana faida yoyote kwa Taifa

    Wabunge wa ccm ni kama vivuli tu pale bungeni.
  8. H

    Wabunge watoka nje ya Bunge Zungu anaendesha Bunge kibabe Lema ainuka na kusema analo jina la ofisa aliyeshiriki mauaji

    Wapinzani wanasimamia haki, ccm inasimamia msuaji, na kukandamiza sheria na haki.
  9. H

    Hivi ndivyo Makonda, Ikulu walivyomponza Askofu Malasusa kwa kumshawishi kuukana waraka na kuendeshwa kwa gari ya Ikulu

    Hii serikali inapenda sana ulaghai. Lakini wengi wameishtukia.
  10. H

    Kifaa kipi ni zao la mtanzania ambacho kinatumika duniani kote?

    Tunazalisha wauza madawa ya kulevya. Nchi nyingi duniani huwezi kosa mtanzania au watanzania wauza madawa.
  11. H

    Nchi zinazoongoza kuwa na wenye elimu ya PhD wengi duniani

    Tatizo ni kwenye malipo. Wanasiasa wanapata mishahata mizuri kuliko wanataaluma. Ndio maana wanataaluma wanakimbilia kwenye siasa. SERIKALI INAWATHAMINI SANA WANASIASA KULIKO WANATAALUMA. ndio maana maprofesa wengi wako kwenye siasa.
  12. H

    Zitto Kabwe anahitaji ulinzi

    Yule nafsini mwake amekataa kuwa ndondocha la magu.
  13. H

    Wakili Jebra Kambole: TLS siyo mali ya umma, haijawahi kuwa mali ya umma na haitakuwa mali ya umma

    Tatizo la Magufuli anajiona yuko juu ya sheria. Kutii sheria kwake ni kama ujinga. Kinacho nishangaza huwa anahimiza wananchi watii sheria lakin yeye haheshimu sheria.
  14. H

    Nani wa kutoa majibu kati ya CAG na Wizara ya fedha?

    Wafundishe hawo ndugu. Issue iko wazi kabisa. Lakini kuna wengine wanavichwa vigumu sana kuelewa. Maelezo ya huyo naibu waziri ni upotoshaji, ni njia ga uongo ya kujarobu kujinasua. Lakini hawatoki Ng' o. Report inetoka na haibadilishiki.
Back
Top Bottom