Kifaa kipi ni zao la mtanzania ambacho kinatumika duniani kote?

Kifaa kipi ni zao la mtanzania ambacho kinatumika duniani kote?

Tunazalisha wauza madawa ya kulevya. Nchi nyingi duniani huwezi kosa mtanzania au watanzania wauza madawa.
 
Mtu kama mpemba hakustahili kuja kuwa afisa nyama pori Na hata ugunduzi wake haukustahili kufichwa kabatini!
Mpemba effect ni moja wapo kati ya vumbuzi chache za watanzania but serikali ilishindwa thamini mchango wake!
Kuna WATU wengi wapo katika laboratory kubwa Dunian Na wanafanya kaz nzuri Na za uvumbuzi mkubwa Dunian hao ni product ya utanzania lakini kutokana Na sera mbovu za elimu iliwaladhimu hata uraia wa Tz waukache
Hivi mnawafahamu watanzania ambao wapo huko NASA wanapiga kazi Na wanaheshimika??????
 
Yule giant lizard aliyewekwa kwenye museum kule ujerumani.
 
Nasisi tumevumbua matumizi ya UNGO katika usafiri wa anga na ndo wa haraka zaidi na cheapest
 
We have nothing. Poor administration, lack of research, innovation and future national plans. Imagine with all engineers we have for fifty years of independence we can not make a simple electric or electronic chip. Even an electric bulb, an office pin, a sewing needle, a small radio mother board, underwear, handkerchief etc . Kazi kubwa umbea fitina vyama vya siasa mapenxi ulevi husda ulozi ndio tija yetu. Sasa wanafunzi wa sayansi wanasoma history ya sayansi. Ni aibu. Inakera
 
nilikuwa namwonyesha jamaa fulani hapa hii post, alichojibu amesema sisi tumezalisha "vyura"..sasa sijui vyura vya snura au vyura vya kihansi
 
U
Habari wakuu humu ndani.
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza.nataka mnijuze wajuzi au kuujuza wale ambao wapo kama mimi,hawajui.naami kira MTU hujivunia asili Mali za kwao.nani ufahari ulioje kutumia ZOA lililo tokana na jasho lako.hivyo mnijuze"BIDHAA GANI ILIO BUNIWA NA MTAZANIA AMBAYO IKO,NA INATUMIKA DUNIANI KOTE?
Mana kira nikionacho,na kutumia ni asali ya ulaya.hua najiuriza sana juu ya hilo.je hatuna wavumbuzi?
Nawasikisha kwenu.
Unafiki
 
Nasikia chips mayai zimebuniwa Tanzania
 
Back
Top Bottom