Recent content by harakati zetu

  1. harakati zetu

    Kukatwa kodi kwa mizigo

    0718 55 300 3 Mwalimu RCT naomba unichek tufanyebiashara
  2. harakati zetu

    Natafuta mashine ya kutengenezea Koni/Ice cream

    Kichwa cha habari hapo juu kinajielezea, 0718 55 300 3 kama uko interested.
  3. harakati zetu

    Nahitaji mashine ya kufyatua tofali(vibrated) blocks

    Kichwa cha habari kinajieleza hapo juu, alienayo anicheck 0718 55 300 3
  4. harakati zetu

    Kiwanja chenye nyumba iliyoishia kwenye renta kinauzwa(14mil)

    Kiwanja chenye nyumba iliyoendelezwa na kufikia kwenye rental(vyumba 3, kimoja ni self container, choo cha ndani ya nyumba ). Bei ni 14m kwa serious buyer maongezi yapo, eneo lipo Morogoro mjini(Bigwa-Misongeni). Mawasiliano 0718 55 30 03
  5. harakati zetu

    Kiwanja chenye nyumba iliyoishia kwenye renta kinauzwa.

    Kiwanja kina ukubwa wa 35 kwa 25, kina nyumba ya matofali ya block(rum 2 kawaida 1 self,jiko na public toilet ndani) iliyoishia kwenye renta, kipo Morogoro(Bigwa Misongeni). Bei ni 14m na sihitaji udalali, kama uko interested nitafute 0718 55 30 03
  6. harakati zetu

    Toyota Probox inauzwa

    8.2Mil,
  7. harakati zetu

    Toyota Probox inauzwa

    Probox ya mwaka 2005 na milleage ni chini ya elfu 75 Km,ipo ktk hali nzuri. 0625 967742
  8. harakati zetu

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    CR7 alibaki kwaajili ya kuendeleza morari ya timu, wamedhihirisha ubora wao.
  9. harakati zetu

    Spika asema baadhi ya Wabunge huvuta bangi na Unga, asema vifaa maalum kufungwa kuwabaini

    Tunafahamu kuwa wakati wa uchaguzi, wagombea nafasi za Ubunge hujinadi kwa kudai kuwa wakipata nafasi watawatumikia wananchi. Lakini mara tu wanapochaguliwa(baadhi hudai eti kwa kishindo) na wakiingia mjengoni husahau wananchi wao na kuanza kutetea sera za chama kilichompeleka mjengoni. Gazeti...
  10. harakati zetu

    Lengo la vita ni nini?

    Turudi kwa majirani zetu, wameingia kwenye vita na Al shabab ni kwa7bu serikali ya Kenya ilikubali kuweka US military base nchini kwao, lkn je mwananchi wa kawaida anafaidika nn na hiyo US base?Serikali inafaidika kuanzia kwnye mahusiano ya kimataifa mpaka kiuchumi ila Alshabab nao pia...
  11. harakati zetu

    Lengo la vita ni nini?

    Wanasiasa ndio huanzisha majanga ya vita, mwananchi wa kawaida hawezi kujua kuwa vita huanzishwa ili watu waneemeke na familia zao. Tatizo ni hii kinga kwa viongozi wakubwa, its shame kwakweli haya mambo yapo Africa tu.
  12. harakati zetu

    Lengo la vita ni nini?

    Isambe kama umeifuatilia kwa kina vita ya Congo DRC inatengenezwa, pale inapokaribia kuisha lazima itokee incidence ya kutengenezwa. Kwa mfano mwaka jana Kabila alipoona anatakiwa aachie ngazi akaanzisha utaratibu wa sensa, na kwakua wananchi walikua wakipinga suala layy kuendelea kukaa...
  13. harakati zetu

    Lengo la vita ni nini?

    Adui wa Adui yangu ndie rafiki yangu na rafiki wa adui yangu ndie atakua adui yangu pia. Vita husambaa kwa style hiyo, chanzo ni utawala, dhuruma, biashara, ubinafsi, tamaa ya kukalia madaraka, katiba mbovu, wananchi kuichoka serikali yao icyojali wananchi husika, rushwa , ufisadi, udini...
  14. harakati zetu

    Wizi wa kutisha JNIA - tahadharini...

    Hawa jamaa ni washenzi na kuiba ni fani yao, ata uvitenganishe vp wataiba tu. Kwa mfano mm niliibiwa wkt vitu vilikua chini ya bag lkn walitoa bidhaa ndani ya box, so nkakuta empty box . Alafu kuingia na hand luggage kwnye cabin inategemea umezigawanya pieces ngapi bidhaa zako, unatoka na bag...
Back
Top Bottom