harakati zetu
Member
- Nov 24, 2013
- 30
- 9
Kiwanja chenye nyumba iliyoendelezwa na kufikia kwenye rental(vyumba 3, kimoja ni self container, choo cha ndani ya nyumba ). Bei ni 14m kwa serious buyer maongezi yapo, eneo lipo Morogoro mjini(Bigwa-Misongeni). Mawasiliano 0718 55 30 03