Kaa jua kuwa mpira ni biashara, Mo analalamika hasara lakini GSM ametulia tu mnamsifia hahaha hakuna mwekezaji anayeweza fanya biashara ya kichaa watu lazima wajilipe kubalance vitabu.....
WEWE KUWEZA?
Sasa kama hela hawana? Kwa unavyofikiria Pesa ingekuwepo wangeacha kulipa na ikiwa FIFA waliwapa notes ya siku 45 kufanya hivyo? Tusiwe tunalaumu kila jambo jamani huu sio uungwana.... Ali kamwe anasema kama unalalamika na huna kadi ya uanachama au unayo alafu hulipii basi wewe ndio wa kulaumiwa...
Kwanini aliitwa national team na kukaa benchi kabisa? Hakuumia ile ilikuwa ni janja janja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaani ivory coast waite majeruhi kutoka Tanzania!!!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.