Wachina rudini nchini muichukue TAZARA yenu

Nyerere alikuwa na vision ya mbali ila wenzake sasa ni ulafi,uzembe,hila....
 
Bongo kila kitu mpaka connection imagine hata kusafiri mpaka uwe na connection!

Ila siku barabara ikiwa inafikika huu urasimu wote utaisha
 
Hatari mkuu hii nchi hii.....
 
Mkataba ushakamilika mchina anaiupgrade tazara iwe SGR ya dizeli kama ya Mombasa Nairobi
 
Back
Top Bottom