Hyo ni nature ya wanaume..
I think huwa wanagain confidence pindi wanapokuwa na ela..
Ila kama hana ela he is all uaz..
Wakati hana hela hata hapati mda wa kuwaza hao kina delila..
Ila akiwa nazo anasahau kama una exist and those B....wanakuja kula raha na majasho ya mwanamke mwingine..
Bikira haizuii usaliti ktk ndoa..
Kwa sababu utampenda sana mwanaume atakuwa na confidence..
Ataanza kuchepuka bila kujali hyo bikira yako..tena atakuambia experience matters..
Ndoa nyingi tu zinateseka na mwanamke aliolewa bikira..
Siyo kila mtu anaona value yake..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.