Namshukuru Mungu kutimiza miaka 26 ya ndoa

Namshukuru Mungu kutimiza miaka 26 ya ndoa

Happy 26th Anniversary to me and my lovely wife Theodora.

I pronounce goodness and mercies shall follow us all the days of our lives and the Lord shall be our provider, we shall not want. We are blessed beyond measure.Once again, happy 26th Anniversary to us.

CONGLATURATION !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!. GOD BLESS YOUR MARRIAGE AND KEEP UNITED AS ONE ALL THE TIME
COME 2017 FEB I WILL CLOCK 25YRS.
 
Happy 26th Anniversary to me and my lovely wife Theodora.

I pronounce goodness and mercies shall follow us all the days of our lives and the Lord shall be our provider, we shall not want. We are blessed beyond measure.Once again, happy 26th Anniversary to us.

You are Blessed. Hongereni sana sana ..... Ninyi ni mfano mzuri sana wa kuigwa. Big up....!!!
 
Mnashikana mikono mbele za watu miaka 50 , ya ndoa , mkirudi ndani mnalia , ndoa haina amani .... BY JAYDEE

Haya ni maneno ya mtu aliyekata tamaa katika maisha ya ndoa.....
 
Hongera mkuu its realy a milestone,,,,,,we wish u more .
 
Hongereni sana.... Naomba tusikie zaidi toka kwako,nini siri ya mafanikio yenu?
 
hongera sana mie next year 25 ni kasafari flani. katamu sana , kachungu, kakali sana na kana maajabi yake.
 
Hongera sana....Alioa enzi hizo kabla Ndoa hazijawa Ndoano na kabla Ndoa hazijachakachuliwa kama hizi za sasa za kichina..Miezi 2 tu watu wameshachokana kabisa na kama wanaishi pamoja ni kutimiza ahadi tu ila maelewano hakuna tena huko ndani..kila mmoja anabaki na ningejua..ningejua..

Vijana wa siku hizi usasa na Ku copy vya mbele huku wanasahau Ku paste vime watawala. Maisha hayaitaji kuiga bali ni kuya ishi na kusikilizana na mwenzako..... Mapenzi ya kweli ni kitu muhimu sana kwenye ndoa hapo ndo italeta hata msamaha pale mnapo koseana. Pia kuridhika na ulicho nacho ni vyema zaidi.
 
Na mimi pia ni mwenzako nnatimiza miaka 26 ya ndoa, Mkielewana kwenye ndoa hakuna kitu kizuri kama hicho duniani. Ninawatakia ambao hawajaoa, mtu asiwadanganye ndoa ni nzuri sana kama ukiingia huko na akili timamu.
 
Hongera sana mkuu ni jambo la ajabu kwa ndoa za siku hizi kufikisha miaka hiyo..Mungu aendelee kuwajaza upendo amani na furaha hadi mwisho wa maisha yeni
 
Nyani mzee...
Hongereni sana mkuu.
Nimepata ari na mimi ya kusherehekea miaka mingi ndani ya ndoa kama ninyi.
 
Hongereni sana mzidi kuishi miaka mingi zaidi ya hiyo mkang'oke meno pamojA
 
Back
Top Bottom