Recent content by happilicious

  1. H

    JamiiForums Tanzania Ni nyimbo zipi zinakukumbusha machungu ya mapenzi na hata kuzichukia kabisa?

    daaaaaaaaaah unanikumbusha mbali sana huu wimbo!! na wimbo wa all of me- by john legend my x alikua haujui nkamuingizia kwenye cm yake, ckuamin cku nimeenda kwao unapigwa kwenye Tv aliniimba mwanzo mpk mwisho nilifurah kwa kuujua!! But baada ya mda akaja nambia he dont feel like loving...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Girlfriend wangu wa zamani simuelewi

    hahahahahaaaaaaaaa duuh aisee u made my day maana nimecheka mpk mbavu zinauma!!!! hata sikupi ushauri mi nacheka tuuu hahahaaa
  3. H

    JamiiForums Tanzania Wanawake safarini hawajui kukataa

    hahaaaa yaan ni uongo ucoenda shule looooh!! form six afu katoka kumaliza chuo!!!!!! hahaaaa
  4. H

    JamiiForums Tanzania Usaili Chuo Kikuu cha Afya Muhimbili

    ndo hapo sasa yaan kuuliza nashangaa imekua ujinga mmmh!! watu jaman jarbun kua na majibu mazuri watu tunapouliza maswali
  5. H

    JamiiForums Tanzania Usaili Chuo Kikuu cha Afya Muhimbili

    Sawa asante sana
  6. H

    JamiiForums Tanzania Usaili Chuo Kikuu cha Afya Muhimbili

    Habari za sahii wapendwa, sasa mimi leo nimetumiwa sms ya kuitwa katka usail MUHAS. Ila nilipojarbu kuangalia majina ya walioitwa kwenye usail jina langu cjaliona. Wasiwasi unakuja sasa je hili swala halitaleta shida hiyo siku ntakapokwenda kweny usail?? naomben ushauri wenu
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kanipigia simu anaomba kesho Jumapili tuonane

    hahahaaaaaa duu ushauri wako umenifurahisha kwakweli
  8. H

    JamiiForums Tanzania Heaven sent nitafute

    hahahaaaaaa umenichekeshaaa looh
Back
Top Bottom