Me nadhani usiache kwenda hasa kama upo ndani ya Dar then utajua huko huko muhmu hyo mes.usifute maana huwezi jua kwa nn wamefanya hvyo,au kama vp piga hyo no. Uulize vzur.
Habari za sahii wapendwa, sasa mimi leo nimetumiwa sms ya kuitwa katka usail MUHAS. Ila nilipojarbu kuangalia majina ya walioitwa kwenye usail jina langu cjaliona.
Wasiwasi unakuja sasa je hili swala halitaleta shida hiyo siku ntakapokwenda kweny usail?? naomben ushauri wenu
Acha ujinga wewe nenda hii ni uhamiaji part two umeasahau? hapo muhas kila post tayari ina mtu na huyo mtu moja wapo ni wewe ambao mnaitwa inje ya system big up kwa kuwa mwana mtandao nenda usitangazeee
Habari za sahii wapendwa, sasa mimi leo nimetumiwa sms ya kuitwa katka usail MUHAS. Ila nilipojarbu kuangalia majina ya walioitwa kwenye usail jina langu cjaliona.
Wasiwasi unakuja sasa je hili swala halitaleta shida hiyo siku ntakapokwenda kweny usail?? naomben ushauri wenu
records management
Sasa hapa ujinga umetoka wapi tena.?
Mh! interview kwa message sijawahi ona.
Ahsante umeniwahi yaani hata mimi nilikuwa nawaza hii kitu. interview kwa sms? hiyo kazi au majanga?
Mi nachojua wote ambao majina yao yapo wametumiwa meseji ni kitu cha kawaida ht PSRS huwa wanatuma msg
ila hizi kazi za Muhas sidhan kama kuna uhalisia
Kuna watu wametumiwa msg nikiwamo mimi interview saa 10:00hrs, kuna watu hawajatumiwa msg wameangalia kwenye website interview 12:00hrs..
Acha zengwe ukisoma ile meseji mwishon wamesema kwa maelezo zaidi tembelea muhas.ac.tz
Acha zengwe ukisoma ile meseji mwishon wamesema kwa maelezo zaidi tembelea muhas.ac.tz