Recent content by happiemrope

  1. happiemrope

    Nimepata ujauzito sijui ni wa nani

    Mmmh huyu Dada ni shida....unajiachiaje hata kinga hukutumia daah!
  2. happiemrope

    Nimejiokotea dodo ila ndani funza tupu

    Anamaanisha ulikula mzigo wa Huyo Dada? Yan ulishalala nae?
  3. happiemrope

    Sijawahi kuona bibi harusi kibonge

    Hahaaaa[emoji2] [emoji2] [emoji2]
  4. happiemrope

    Sifa za wanawake wanaopenda kuvaa madela

    Hahaaa my dear kanunue tu inategemea unalitumiaje coz wengine utakuta kaweka wigi la bluu NA dera kalikunja mikononi NA kwa chini kakunjia kwenye mapaja ili umbo lake lionekane BT kama unalivaa kistaarabu haina shida
  5. happiemrope

    Sifa za wanawake wanaopenda kuvaa madela

    Hapana jaman ukweli upo kwa asilimia chache sio wote..lile ni vazi tu inategemea MTU analichukuliaje...ila namba 12 ni kweli kabisaa
  6. happiemrope

    Mpenzi wangu kila tukisex anawahi kufika kileleni

    Kweli bhana...[emoji122] [emoji122] [emoji122]
  7. happiemrope

    Baada ya kupata matatizo, mchumba wangu akaolewa na mfanyakazi mwenzangu

    MTU mwenyewe anavaa uchi hivyo unategemea nn
  8. happiemrope

    Nani mkali kati ya Rayvanny na Harmonize?

    Napenda nyimbo za harmonize...ila mavazi yayvan yuko vizur
  9. happiemrope

    Jicho ndo habari ya mjini

    Chura ndo nn
  10. happiemrope

    Jicho ndo habari ya mjini

    HIV mkia ndo nn
  11. happiemrope

    Nimekutana na 'first boyfriend' anataka turudiane

    Msimamo zero hapo unakubali mpaka kupokea picha yake unatengeneza dhana gani kwa mumeo....IPO siku mtaenda kuvunja amri ya 6 guest house...tabia mbaya tu
  12. happiemrope

    Ndoa inaelekea kunishinda, nashindwa kumudu majukumu ya ofisini na nyumbani

    Mmmmh Dada lazma uwe proud of your marriage...jitahid ndo uanamke huo hapo bado kama una watoto wanahitaji care toka kwako...jipange tu sidhan km huko kazin unaspend 24 hrs...jitahid tu umudu ndoa yako other wise unamtafutia matatizo mume wako...NA jitahid uhakikishe unampa chakula cha usiku...
  13. happiemrope

    Kama unafanya kazi zote za ndani mwenyewe na unyumba unakosa hii ni ndoa kweli?

    Huyo ni mwanaume ameoa ila mke ndo kama hivyo
  14. happiemrope

    Kama unafanya kazi zote za ndani mwenyewe na unyumba unakosa hii ni ndoa kweli?

    Umenena ila unakuta ni mfanyakaz was serikali hapo hawez kwenda kwao
Back
Top Bottom