Ameshakula bei gani mpaka sasa? Na wewe umeshampinda mara ngapi? Fanya mahesabu uone kama 'equivalent is equal to proportional '[emoji23] kisha chagua kunyoa ama kusukaIlikuwa siku ya sikukuu ya idd niliamua kupumzika nikaenda kupata kinywaji kwa glosary moja maeneo ya karibu na kwangu
Nikiwa nimekaa kama dakika kumi akaja msichana mmoja mrembo sana, alikua ni ndugu wa muhudumu wa pale glosary, yule msichana alikuwa akinitazama mpaka macho yangu yalikosa balance.
Alipozidi kuniangalia sikua na hiana nikamuita akaja fasta na bila kuogopa alinambia jinsi alivonizimia, ila sasa tatizo lake amenifanya ATM tangu Idd mpaka leo ye ni kunibangua mipesa tu, mpaka anakera
[emoji38] nitafanya hvyoAmeshakula bei gani mpaka sasa? Na wewe umeshampinda mara ngapi? Fanya mahesabu uone kama 'equivalent is equal to proportional '[emoji23] kisha chagua kunyoa ama kusuka
Kuingia tu JF na unataka namba ,utapata usijaliWeka no yake hapa km amekushinda mkuu
Ngoja nimtumie vya kutosha halafu nampa ujira mdogoNowdays wasichana wanataka ujira wao we mpe tu ....eeh mpe mpe mpe kabisa ndo walivyo wana vitega uchumi
Nani kakupa huo mrejesho? kakudanganya vya kutoshaItelejensia inaonyesha wewe ndiye unayependa kutoa pesa hata bila kuombwa!
Nikimkomoa ataacha kuomba?Mpe hela, we mpe hela tu hadi akome mwenyewe
hawezi kua nayoKwani ana password yako?
Pombe inapatikana wapi hi?
Hasisahau kumwambia siku hiyo hasile ugali na maharage Bali ale biscuit na sayona afu aje na kilainishiMPE afu muombe 0
[emoji3] [emoji3] [emoji3] sawa[emoji38] nitafanya hvyo
Anamaanisha ulikula mzigo wa Huyo Dada? Yan ulishalala nae?kwani glosary wanaendaga kujisaidia?