Sijawahi kuona bibi harusi kibonge

Sijawahi kuona bibi harusi kibonge

Kila mtu anataka picha zipendeze siku ya harusi, maana hata wajukuu wataziona kama ni majaaliwa. Ukishaona jamaa yuko serious na mahari imelipwa unaanza kushinda na njaa. Wengine wanafunga kabisa kumuomba Mungu awajalie safari njema kwenye ndoa, lakini yote hayo matokeo yake ni kuwa ki portable.Unakumbuka ile style ya bwana harusi kumbeba bibi harusi beach, sasa kama umehifadhi kilo za mafuta nani ataweza kukubeba zaidi ya Power Mabula.
Hahaaaa
 
Kuna wale chubby chubby..huwa wanapendeza sana.
 
Wakuu salaam kwenu kama Kichwa hapo juu kinavyojieleza
Katika arusi zote nilizo shuhudia sijawahi ona bibi arusi mnene wakati mtaani wamejaa wadada vibonge najiuliza hao walioorewa huwa wananenepa baada ya kuolewa naje hawa wadada vibonge ambao bado hawajaolewa huwa hawaolewi kwa kufanya arusi au wanafungaga ndoa zile za kimila ambazo watu huwa wanaowana kimya kimya au kuna mazoezi wanayofanya hadi kuwa wembamba au vibonge huwa hawafanyiwi arusi au ni macho yangu mm naonaga ni wembamba na wale saizi ya kati ambao sio wanene au wembamba nao ni wachache vp kuhusu nyie wanajamvi huwa mnazishuhudia arusi za wanawake vibonge uko kwenu?
Ni wanapendeza hatareeee
 
Attachments

  • 1474251761739.jpg
    1474251761739.jpg
    39.3 KB · Views: 136
Kila mtu anataka picha zipendeze siku ya harusi, maana hata wajukuu wataziona kama ni majaaliwa. Ukishaona jamaa yuko serious na mahari imelipwa unaanza kushinda na njaa. Wengine wanafunga kabisa kumuomba Mungu awajalie safari njema kwenye ndoa, lakini yote hayo matokeo yake ni kuwa ki portable.Unakumbuka ile style ya bwana harusi kumbeba bibi harusi beach, sasa kama umehifadhi kilo za mafuta nani ataweza kukubeba zaidi ya Power Mabula.

Hahaahaahaaahaaah!!mbavu zangu jamani,khaaaah!!!
 
Mi niliwai shuhudia moja aisee! Bibi harusi alikua ka puto na shera lake! Yaani ziwa lilibanwa nikafikiri akipiga chafya tu litachomokea juu.
Nadhani mtu akiwa kwenye mishe za kuolewa diet na mazoezi mengi yanaanza pamoja na stress juu! Ko lazima apungue tu.
 
Okay tufanye sawa haujaona... So what? Kwani vitu vingine vyote wewe umeviona? Umeshaona self contained ndani ni choo cha shimo.... Mbado
Hiyo niliwa iona
Ila ilibidi waikimbie nyumba aisee! Yote ilianza kunuka!
 
Ukweli ni kuwa wanawake hunenepea kwa wanaume zao huolewa kimbao mbao baada ya miezi 8 tuu huumuka.
 
Back
Top Bottom