Recent content by HAPANA

  1. H

    JamiiForums Tanzania TAIFA STARS: IBRAHIM AJIBU NDANI! ABUBAKAR SALUM NDANI! JONAS MKUDE NDANI MATOKEO 0-0 NYUMBANI

    Bocco inabidi asicheze aachie vijana watafute ushindi. Japo ni mfungaji bora wa muda wote lakini ni hatari kutegemea ushindi kupitia yeye. Uwezo bado mdogo sana, aanze Ayee na Nado pale 9&10.
  2. H

    JamiiForums Tanzania MATOKEO YA USAILI WA MAHOJIANO TRA 2019

    Mzigo huu hapa
  3. H

    JamiiForums Tanzania MATOKEO YA USAILI WA MAHOJIANO TRA 2019

    Tayari yashatoka
  4. H

    JamiiForums Tanzania TANAPA hatimaye wameniita kwenye usaili

    Bora labda wataita tena wengine, maana toka tufanye interview mwaka Jana mwezi wa 9 hadi leo kimya.
  5. H

    JamiiForums Tanzania Ni swali gani uliwahi kuulizwa kwenye interview likakuacha hoi?

    Ukajibu vipi Mkuu? Au ulileta habari za scale zao?Pesa uliotaja ndio uliolipwa?
  6. H

    JamiiForums Tanzania Kweli TANAPA wameanza kuita watu kwa emails?

    Hawajanifanyia kitu, kwanini umeuliza hivyo? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. H

    JamiiForums Tanzania TANAPA miezi miwili imepita tangu tufanye Usahili wa Mahojiano

    Nawatakia siku njema staffs wote watarajiwa wa TANAPA. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. H

    JamiiForums Tanzania Kweli TANAPA wameanza kuita watu kwa emails?

    Mimi na familia yangu tunawatakia weekend njema staff wote watarajiwa wa TANAPA. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. H

    JamiiForums Tanzania Asante TANAPA hatimae umeniona

    Mkuu umefanya usaili February unalalamika! Wapo waliofanya usaili mwaka June 2018 hadi leo hawajaitwa kazini.Vumilia tu ikibidi jisahaulishe Sent using Jamii Forums mobile app
  10. H

    JamiiForums Tanzania TFF wekeni viingilio vya chini tujaze uwanja mechi ya stars

    Kiingilio kilishatangazwa muda mrefu mzunguko Tsh 2,000/= Sent using Jamii Forums mobile app
  11. H

    JamiiForums Tanzania kuitwa JWTZ

    Kutaka kujua kama wenzako wameitwa au hawajaitwa sio kulijadili jeshi...Ni vizuri kujua kuliko kuendelea kusubiri Meli airport. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kweli TANAPA wameanza kuita watu kwa emails?

    Ulikuepo huko kwenye usaili mkuu? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. H

    JamiiForums Tanzania kuitwa JWTZ

    Hao walioitwa wameshaanza kupiga kozi? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. H

    JamiiForums Tanzania Kwa ufaulu huu aende shule gani?

    Serikali hawezi kupata maana ana div 4:26.Mtafutie private akasome HKL Sent using Jamii Forums mobile app
  15. H

    JamiiForums Tanzania leo katika mizani... HERITIER MAKAMBO-YANGA,,, MEDIE KAGERE-SIMBA,,, ENOCK ATA-AZAM,,, AMBOKILE-MBEYA CITY.

    Jumlisha uwezo wa hao wote bado hawamfikii Ambokile. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom