MATOKEO YA USAILI WA MAHOJIANO TRA 2019

Mtwa JR

New Member
May 27, 2019
1
0
Wakuu habari zenu na poleni kwa majukumu ya siku nzima...

Ninaomba kufahamishwa, kwa mtu mwenye taarifa hata kama sio rasmi, majibu ya usaili wa mahojiano TRA 2019 yatatoka lini.
 
Wakuu habari zenu na poleni kwa majukumu ya siku nzima...

Ninaomba kufahamishwa, kwa mtu mwenye taarifa hata kama sio rasmi, majibu ya usaili wa mahojiano TRA uliofanyika March 25, 2019 yatatoka lini. PSRS waliahidi baada ya wiki 2 yatakua tayari lakin hadi sasa ni miezi miwili imepita. Je wanayafanyaje huko au shida ni nini?
Relax tunamalizia mchakato wengi mmefungana fungana maksi.Mwezi ujao tutaanza kuwapigia simu na kupublish majina yenu
 
Back
Top Bottom