kuitwa JWTZ

nysku

Member
Oct 31, 2018
37
8
kwa wale waliofanya usaili jwtz kwa kozi za afya kuna ambao wameshapigiwa simu kuitwa
 
Kwani unajuaje kua hao wana kibao waliofanyiwa usaili kuwa lazima wangepigiwa simu........ Jeshi linaweza likataka watu 4 tu ila likasema linahitaji
watu kibao

Sent using Jamii Forums mobile app
duh! basi kazi kwelikweli ishakula kwetu wengine nilijipa moyo kwa kua kozi yetu tulikuwa kama 200 tukapunguzwa mpaka tukafika 40 ndo tuliruhusiwa kufanya usaili na vipimo kumbe mapanga yalikuwa yanaendelea hatari sana haya mambo
 
Ndio hivo ndugu katika hao 40 watakaoitwa ni kama 20, watakaokuja ni kama 15, wataomaliza salama ni kama 7....... Huo ndio ukweli mchungu

Wana kibao au ww mwenyewe??
ok mkuu leo nimepata info kutoka makao makuu niliwapigia cm w
Ndio hivo ndugu katika hao 40 watakaoitwa ni kama 20, watakaokuja ni kama 15, wataomaliza salama ni kama 7....... Huo ndio ukweli mchungu

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu nimepata taarifa kwa mdau mmoja amesema wanaendelea na zoezi la kuwapigia watu simu kwani wanawapigia kwa awamu jamaa aliongea nao
 
Ndio hivo ndugu katika hao 40 watakaoitwa ni kama 20, watakaokuja ni kama 15, wataomaliza salama ni kama 7....... Huo ndio ukweli mchungu

Sent using Jamii Forums mobile app
bado siamini kwa kozi yetu tulichujwa kabla ya kuingia kwenye usaili baada ya usaili wakatuambia nyie ndo mliopita njooni kwenye vipomo kesho haiwezekani namba ya watu waliopigiwa simu ikawa ndogo kiasi hicho
 
Back
Top Bottom