Kweli TANAPA wameanza kuita watu kwa emails?

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,228
Reaction score
1,264
Habari wana Jamii Forums,

Ni kweli TANAPA wameanza kuita watu kupitia emails zao maana kuna mtu kaniambia ila sina imani naye, ni zile nafasi 150 za Park Rangers.
 
...DUUH ilo tag la watu c mchezo cjui sisi tuliomba IT

Sent using Jamii Forums mobile app
uwiano ni watu 7 wanagombania nafasi 1,ni watu wachache hao,halafu hata wew ukiitwa usikate tamaa maana kuna wengne hawatokuwa na vyeti na vitu kama hvyo,ukipita mchujo ukaenda ktk oral interview utakuwa ktk advantage maana mapori ya akiba yameongezwa ktk hifadhi mapori matano,so watawaongeza tu,keep it up
 
Kada nyingine hawajasema wanaita lini mkuu?
 
...kweli mkuu
uwiano ni watu 7 wanagombania nafasi 1,ni watu wachache hao,halafu hata wew ukiitwa usikate tamaa maana kuna wengne hawatokuwa na vyeti na vitu kama hvyo,ukipita mchujo ukaenda ktk oral interview utakuwa ktk advantage maana mapori ya akiba yameongezwa ktk hifadhi mapori matano,so watawaongeza tu,keep it up

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Kuna mdogo wangu yupo kwenye list ila ndo tumeona mail leo, wakati interview imeanza tarehe 31, amelia kinyama
 
Kada nyingine wakiita tustuane jamani
 
Back
Top Bottom