Inasikitisha sana aisee sijui tumewakosea nin kwakweli, nasikia kuna mitano mingine ya shukrani kwa jiwe[emoji23][emoji23][emoji16][emoji3][emoji1787][emoji1787]
Mnapojipambanua kusifia msiache na kuonesha failure......lakini kubwa kuliko yote mnapsifia hewala ila ikiwa tofauti basi forum inaonekana ipo kiuchochezi na akina Melo wanakesheshwa mahakamani,waambieni wenye mamlaka kuwa ikiwa JF ina watu wanaosifia basi pia watarajie kuwepo na watu wanaosiliba.
Ndio nyota moja anaetoka Leo kozi JW ni kubwa kijeshi kuliko aliokuwa nayo Polisi kwa miaka kadhaa hizi ni protocol za kijeshi
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah we jamaa unachanganya ma file sasa yaani OCS, occid ,OCD, RPC hivyo sio vyeo bali ni madaraka tu ,kwa maana OCS ni mkuu wa kituo, OCD ni mkuu wa police wilaya rpc ni mkuu wa polisi mkoa ila sio ranks
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa swali lko jibu ni kwamba ndio zina expire lakini ku expire kwake bado inafanya kazi na haiwezi kujilipua yenyewe may be bomb zinaweza kuwa na madhara hayo uliosema ila sio bullets
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakili kazi yake sio kuitaka mahakama itoe adhabu flani bali kazi ya wakili ni kuiomba mahakama ipunguze adhabu kwa mteja wake kutokana na sababu kadhaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Jifunzeni kujua mambo na kuwa na wivu wa kutaka kujua jambo, mpaka umewekewa tangazo la RPC na kosa hilo ni la jinai na ukiwa mtumishi wa serikali lazima usimamishwe kaz hasa inapotokea umefikishwa mahakamani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana sio lazima uwe na Ebola, huenda hizo sababu nyinginezo za zuio tukawa nazo na Ebola ikawa kwa mataifa mengineyo yaliyojumuishwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu kwa upande wa mauaji ya Qassim alikuwa na makomandoo takriban 20, hapa ithiibat ipo ingawa hukufafanua ila kwenye watu 80 kwenye kambi 2 hizi taarifa hazina ithibati, jiulize ni Camp gani inakosa mtu hata mmoja majeruhi huku ikiwa imetekea vibaya Sana Kwa mashambulizi kweli ilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.