Simiyu: Muhitimu wa Shule ya kata Igaganulwa, Yohana Lugedenga azua mjadala baada ya kupata daraja la 1.7 akiwa amepata A masomo yote 9

friendfx

JF-Expert Member
Oct 16, 2017
246
250
Huyu kwangu ndiye mwanafunzi wa mwaka

1.jpeg
TO.JPG
Mwanafunzi.PNG
 
Igaganulwa Iringa,halafu hapo chini imeandikwa Simiyu. All in All huyo ndo Tanzania one. Hao wengine ni mazingira yao ni mazuri mno. Usipofaulu basi wewe kilaza kweli.

Umeniwahi kuona hili, taarifa imetiwa ukakasi na kukosa muunganiko.... nachelea kuamini na kupongeza nilichokiona.
 
Back
Top Bottom