Huyu bwana anajishtukia kwamba nafasi aliyopewa ni kubwa sana ukilinganisha na uwezo wake. Kwanza huyu ni ntendaji, mbona yupo kwenye majukwaa muda wote? Anafanya kazi za utendaji saa ngapi?
The one who asked "nonesense" questions is Abdallah Majura. He seems not to undetstand the meaning of "No reforms No Election" despite explainations that was already given.
Hivi huduma shule za sekondari Tanzania zimeboreshwa? Nakumbuka miaka ya 90's tulikua tukisikia migomo ya wanafunzi kila kukicha.
Miaka ile ndio palitokea mgomo Sekondari ya Tambaza na wanafunzi wote tulisambaratishwa kwa kuhamishwa na shule kubadilishwa kua High School. Je, unakumbuka nini...
Kwa muda mrefu nimekua nikijiuliza ni kwa nini chama kikubwa kama CHADEMA hakina ofisi nzuri ya Makao Makuu. Kwa muda mrefu Chama kimekua kikiendelea kujibana pale mtaani Kinondoni kwenye jengo la zamani na dogo sana. Kwa yeyote anayejua kwa nini hili linaendelea atuambie hapa.
Nafikiri uongozi...
Mwaka 2009 nilikua nasafiri kwenye daladala inayotoka Makumbusho kuelekea Mbagala. Mimi nilipanda hiyo daladala kwenye kituo cha Magomeni. Nilipopanda nilikuta daladala limejaa sana. Basi "Konda" akanisukumiza ndani nami nikajitahidi kupata nafasi.
Bahati nzuri au mbaya nilijikuta nimetazamana...
Tulitarajia kwamba Rais Samia takutana na Watanzania wanaoishi Marekani kwenye ukumbi, lakini hili halikufanyika. Kuna sababu zozote zilizotajwa kwa Rais kutokutana na Diaspora na kujibu baadhi ya maswali tuliyo nayo?
Mambo ya serikali ya muungano ni kwenye nadharia tu. Zanzibar wana serikali yao na Tanzania Bara tuna serikali yetu.
Naibu Waziri wa Mambo ya ndani anatoka Zanzibar!
Kuna tetesi kwamba James Mbatia (Mwenyekiti NCCR-Mageuzi) atateuliwa na Mh. Rais Magufuli kuwa Mbunge. Huyu bwana alishaonekana kuwa upande wa Serikali ya CCM toka alipomtembelea Rais Ikulu.
Ukiachia hilo, amemtuma Mgombea wa Chama chake kwenda kupongeza Ushindi wa Rais Magufuli hadharani...
Hili mheshimiwa kachemka. Taifa Stars wakijitahidi saana wataifunga Kenya. Sidhani kwamba Taifa Stars wanaweza kuifunga Algeria hata kama Makonda atakuwepo uwanjani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.