PARADIGM
JF-Expert Member
- Sep 9, 2014
- 2,774
- 1,829
Hili limekuwa tatizo sana maana ukitaka kugombana na mke fuatilia kipato chake. Wengi huficha na hawataki hela zao zifanye lolote. Mbaya zaidi ni pale wanapoanza kufuatilia za mume. Hapo napo siwaelewi.Kuna faida za kuoa mke alie na kazi au biashara.
Likitokea lolote yeye ana uwezo wa kuendesha familia.
Inategemea maelewano yenu, kama una kipato kikubwa muachie hela yake afanyie vitu vyake vidogo vidogo kama akijisikia kukusaidia chochote ni yeye sio ndiyo uipigie mahesabu.
Kama kipato cha kawaida basi mnaweza gawana majukumu yeye anaweza deal na mambo ya ndani wewe ukawa unadeal na vitu vikubwa mf. Ujenzi...ada za watoto...uwekezaji na n.k
La msingi we tafuta hela achana na pesa ya mwanamke.


...yaan ninajenga picha fulani hivi ya kukudharau hata stimu na wewe inakata kabisa