Recent content by hansb

  1. H

    Jana nilitangaza rasmi nia yangu ya kugombea ubunge jimbo la Singida Mjini

    Kudadake, yaani ajali ndo msukumo wa kutia nia???
  2. H

    Mtikila azuia Muswada wa Mahakama ya Kadhi Kujadiliwa

    Ni uelewa mchache kwa Mtikila na wanaomuunga mkono, Kazi ya mahakama ya kadhi sio kuhusika na issue za jinai..Kuweni waelewa na msiwe na vichwa vya panzi..
  3. H

    Jerry Muro kugombea ubunge jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM

    Juma nature nae?kwi kwi kwi
  4. H

    Employment contract

    Nitafute
  5. H

    Msaada wapendwa- bikra inanitesa

    Jiachie tuu
  6. H

    Zitto akiibukia CCM litakuwa pigo la kudumu kwa CHADEMA

    Ndugu zangu wana CDM, Kwa nini tunakubali kuendelea kutawaliwa/Kuongozwa na mtu aliyepata zero?Huyu Mbowe sidhani kama anafaa kuwa na nafasi yeyote zaidi ya kuwa DJ kwenye mikutano yetu...Kuongozwa na Mr Zero ndo madhara yake haya..
  7. H

    Mkutano wa Zitto & Dr Kitila Mkumbo kuwa streamed LIVE

    CDM wasipoangalia ndo mwisho wao..Hivi hiki chama cha Mtei kinatatizo gani? Mbona Lema anaropoka upuuzi hajasemwa?Kwa hili mmekurupuka na litawamaliza
  8. H

    Mbona Kimya?

    Hahaha da siasa chai tuu,mapenzi swafi
  9. H

    Mbona Kimya?

    Jf imekuwa kimya saana jama...tatizo nn lakini?au watu wamehamia fb?
  10. H

    Natafuta mwanamke wa kubadilishana mawazo

    Ahsante ila pia si mbaya kutafuta maana kutanifanya niweze kuchagua chenga na mchele ili pilau kuwa bomba.....
  11. H

    Natafuta mwanamke wa kubadilishana mawazo

    Ntakimbiaje wakati nmeyataka mwenyewe?kuniamini kumenifanya nijitokeza hadharani....hahaha
  12. H

    Natafuta mwanamke wa kubadilishana mawazo

    Si ukali ila heshma muhim na sidhani kama malengo ya JF ni kuona watu wakivunjiana heshima....naamini wapo wastaarabu ndo maana inapata members wengi kila kukicha...
  13. H

    Natafuta mwanamke wa kubadilishana mawazo

    ahsante saana
  14. H

    Natafuta mwanamke wa kubadilishana mawazo

    Powa si mbaya maana ndo mwanzo...
Back
Top Bottom