Natafuta mwanamke wa kubadilishana mawazo

hansb

Member
Sep 2, 2011
23
2
Mie ni kijawa mtanzania ila sipo Tanzania kwa sasa...Ningependa kukutana na marafiki wa kike wenye umri kuanzia 18-26....Mengi tutaongea huko,aliye serious aniemail....bwaxb@yahoo.com.....Ahsanteni nyote waungwana..
 
Karibu sana JF. Nakutakia kila la heri kwenye utafutaji wako.............
jamani smily uliobaki baada ya mmoja kupotea katika mazingira ya kutatanisha(Pauline) salamu basi usinisahau,mzima lakini ?

back to the topic: kijawa huyu mwenye e-mail ya bwaxi (bwaksi) ????
 
Jamani Uporoto, mimi sijakusahau hata kidogo my dear, naona tunapishana tu! Mimi mzima kabisa, habari za kusherehekea IDD?...hopefully nami umenibakishia..:)
 
Mie ni kijawa mtanzania ila sipo Tanzania kwa sasa...Ningependa kukutana na marafiki wa kike wenye umri kuanzia 18-26....Mengi tutaongea huko,aliye serious aniemail....bwaxb@yahoo.com.....Ahsanteni nyote waungwana..
Pole wee samahani kwakuanza na pole siyonakukatisha tamaa ila nakuomba ugeuze kari lako la matamanio ndani ya JF hapa wote ni maguberi over 30!!Hivyo sidhani kama hapa kuna choice yako ila na wewe kama unatafuta waliokuzidi umri maana vijana wasasa hamna aibu waweza kumfunua mtu mwenye rika sawa na mzazi wako!Sisi zamani hatukuthubutu ila nyinyi kizazi cha .com mnaweza sana!!Karibu!!Ila angalia hapa jf usije ukakimbia wewe!
 
Lol! kwi kwi kwi
 
yamenikuta, mchumba mwenyewe mkali huyo.
Si ukali ila heshma muhim na sidhani kama malengo ya JF ni kuona watu wakivunjiana heshima....naamini wapo wastaarabu ndo maana inapata members wengi kila kukicha...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom