Recent content by Hanny danny

  1. H

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: 9 wafariki kwa kusombwa na maji wakiwa kwenye Ubatizo, 8 hawajulikani walipo

    Jamani vitu vingine vya kujitakia unaona km maji ni mengi
  2. H

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Precision Air: Ripoti yabaini hakuna Control Tower, Boti za Uokozi zilichelewa, Mhudumu na Abiria ndio waliofungua mlango

    Kwahiyo mnataka kutuambia Majaliwa hakusaidIa ama? Mwacheni nae alicheza pat yake huyo muhudumu yuko wapi?
  3. H

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lakataa vijana 8 kutokana na kujihusisha na vitendo vya Ushoga

    Sijui inakuaje hapo maana ata akificha kwann ameeudi na huku habari Zimesha sambaa
  4. H

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lakataa vijana 8 kutokana na kujihusisha na vitendo vya Ushoga

    Km mazoezi wanayamudu wangewaacha maana sidhani km kuna Shoga angeweza yamudu mazoezi au isikute wameharibikia hapo kwenye kambi
  5. H

    JamiiForums Tanzania Kisa wivu wa mapenzi, mume adaiwa kumuua mke kisha kumtenganisha kichwa, kiwiliwili na viungo vingine

    Aisee ana Roho ngumu afungwe tu Maisha mabaya Msamaha wa Rais asitoke
  6. H

    JamiiForums Tanzania Marekani: Kijana aua watoto 19 wa shule ya msingi kwa kuwafyatulia risasi darasani

    Jamani hii Dunia inakoelekea sijui wapi
  7. H

    JamiiForums Tanzania Mwijaku akutwa na kesi ya kujibu shtaka la kusambaza picha za utupu kinyume cha sheria

    Nilijuaga ilishaishaga hii mambo
  8. H

    JamiiForums Tanzania Paroko wa Kanisa Katoliki akutwa amefariki, mwili wakutwa kwenye tanki la maji

    Raha ya Milele umpe eeh Bwana na Mwanga wa Milele umwangazie Apumzike Kwa Amani.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya Unyanyasaji Kanisani: Papa Benedict aomba msamaha, akubali makosa yaliyotokea

    Waruhusiwe tu kuoa maana hii ni Aibu
Back
Top Bottom