Marekani: Kijana aua watoto 19 wa shule ya msingi kwa kuwafyatulia risasi darasani

Muuaji anaitwa Salvador Rolando Ramos. Sijajua Race yake wala asili yake wala afya yake ya akili, Ila mji aliofanyia mauaji Uvalde una Walatino wengi. Kitendo chake kinatakiwa kulaaniwa bila kujali rangi yake wala asili yake.

Vipi ungeambiwa Muuaji ni Muarabu mwenye asili ya Iraq na hakukutwa na matatizo yoyote ya akili? Ungesemaje?

Umenikumbusha tukio fulani lilitokea Munich Ujerumani mwaka 2016. Muuaji kaua watu 9 kabla ya kujiua mwenyewe. Watu wakawa wanawalaumu wageni, mara wanawalaumu Waislam. Kumbe Muuaji alikuwa ni Mjerumani mwenye asili ya Iran akiitwa David Ali Sonboly. Hakuwa mgeni alizaliwa Ujerumani, alizaliwa na kukulia katika makuzi ya kisekula. Wazazi wake walihisi alibadili dini kuwa Mkristo japo hakuwa religious.

Anders Behring Breivik alipowalipua watu Oslo, kabla hajajulikana watu walishaanza kulaumu Waislam.

Timothy McVeigh nae alipolipua watu Oklahoma mwaka 1995 kabla hajakamatwa, baadhi ya Media zilishaanza kuwashuku Waislam.

Watu wamekosa uadilifu na wako haraka kuhukumu.
Inasikitisha sana hawa watu akili zao hafifu kabisa..
 
Sheria ya ununuzi/umiliki silaha marekani wanaiona ni Bora kuliko maisha ya raia wao..
 
Utasikia ana tatizo la afya ya akili,na tatizo hilo analo toka akiwa na umri wa miaka 5
Ila ingekua wa dini ile wangesema ni Gaidi.

Hilo tunalijua
Sababu ya kwanza mgonjwa
Tena kwa kuwa ni Latino ndio wamemuua
Angekuwa ndugu yao wangemuomba aweke silaha chini na kujisalimisha

Ni weupe wachache wanawauwa kwa bahati mbaya
Wakiwashika wanapelekwa hospitali ya wehu

Ila huko sio kwa kuishi
 
Muuaji anaitwa Salvador Rolando Ramos. Sijajua Race yake wala asili yake wala afya yake ya akili, Ila mji aliofanyia mauaji Uvalde una Walatino wengi. Kitendo chake kinatakiwa kulaaniwa bila kujali rangi yake wala asili yake.

Vipi ungeambiwa Muuaji ni Muarabu mwenye asili ya Iraq na hakukutwa na matatizo yoyote ya akili? Ungesemaje?

Umenikumbusha tukio fulani lilitokea Munich Ujerumani mwaka 2016. Muuaji kaua watu 9 kabla ya kujiua mwenyewe. Watu wakawa wanawalaumu wageni, mara wanawalaumu Waislam. Kumbe Muuaji alikuwa ni Mjerumani mwenye asili ya Iran akiitwa David Ali Sonboly. Hakuwa mgeni alizaliwa Ujerumani, alizaliwa na kukulia katika makuzi ya kisekula. Wazazi wake walihisi alibadili dini kuwa Mkristo japo hakuwa religious.

Anders Behring Breivik alipowalipua watu Oslo, kabla hajajulikana watu walishaanza kulaumu Waislam.

Timothy McVeigh nae alipolipua watu Oklahoma mwaka 1995 kabla hajakamatwa, baadhi ya Media zilishaanza kuwashuku Waislam.

Watu wamekosa uadilifu na wako haraka kuhukumu.
Ni upumbavu tu na chuki ndio wanavyoviwaza kwanza
 
Kijana mwenye umri wa miaka 18 ameua Wanafunzi 19 kwa kuwafyatua risasi katika Shule ya Msingi ya Robb Elementary iliyopo Texas, akifanya tukio hilo kwa kuhama darasa hadi darasa, kabla ya vyombo vya usalama kumthibiti na kufanikiwa kumuua na yeye pia.

Seneta wa Jimbo hilo, Roland Gutierrez ndiye aliyetoa taarifa kwa Polisi akieleza pia kuna watu wazima wawili wamefariki katika shambulizi hilo mmoja kati yao ni mwalimu.

Haijawekwa wazi idadi ya waliofariki kama imehusisha na hao watu wazima, pia haijawekwa wazi idadi ya majeruhi.
===

Gov. Greg Abbott told reporters that 15 people, including 14 children and one teacher, were killed in a school shooting at an elementary school in Uvalde, Texas, on Tuesday afternoon.

Speaking at a press conference in Abilene, Abbott said the suspected shooter is dead and identified him as an 18-year-old male who he said was reported to be attending Uvalde High School.

The governor said it's believed that he abandoned his vehicle and entered into the Robb Elementary school with a handgun and, maybe a rifle, but said this has not been confirmed.

The suspect allegedly shot his grandmother before he entered the school, where 600 students are enrolled.

Uvalde Police Chief Pete Arredondo confirmed some of the details offered by Abbott at a brief news conference Tuesday afternoon. Arredondo called the bloodshed a mass casualty incident but did not specify the number of dead. The chief also told reporters that the alleged gunman acted alone and is deceased.

"The suspect did act alone during his heinous crime," he said during the brief statement. He added, "Families are being notified and we are providing services to them."

Officials at University Memorial Hospital in Uvalde confirmed two individuals were dead on arrival. They offered no additional details about the deceased.

Thirteen children were transported to the hospital, two of whom have been transferred to facilities in San Antonio, more than 80 miles away.

A 66-year-old woman and a 10-year-old girl were also taken to University Hospital in San Antonio, according to local news stations. The hospital confirmed that the 66-year-old is in critical condition.

Uvalde police department officials initially said the suspected gunman was taken into custody at 1:06 p.m. local time.

The shooting at the school where 600 students are enrolled began at 11:32 a.m. Uvalde Consolidated Independent School District officials said all local schools went into lockdown as news of the active shooter spread.

Multiple law enforcement agencies, including border patrol and officers from neighboring cities have responded to the scene.

Student and teachers were evacuated to the city's civic center where parents are being told they can now pick up their children.

This is a developing story and will be updated.
Jamani hii Dunia inakoelekea sijui wapi
 
Sasa wamefikia 21, halafu walivyokua wajinga hawaiti ugaidi huu, vitoto maskini havijui chochote vimeuwawa kinyama na gaidi
ugaidi lazima uwe na sifa mkuu.

uwe na lengo la kushinikiza,kutisha mamlaka,na kuzua taharuki,kwa malengo ya kidini au kisiasa.

kinyume na hapo mhusika anakuwa mgonjwa wa akili tu,hata kama ana sijda.
 
Ubalozi wa Tanzania nchini Jamiiforum una utaarifu umma na raia wake kuwa hivi sasa Marekani sio sehemu salama kwa usalama wao.
 
Hilo tunalijua
Sababu ya kwanza mgonjwa
Tena kwa kuwa ni Latino ndio wamemuua
Angekuwa ndugu yao wangemuomba aweke silaha chini na kujisalimisha

Ni weupe wachache wanawauwa kwa bahati mbaya
Wakiwashika wanapelekwa hospitali ya wehu

Ila huko sio kwa kuishi
Hilo eneo wakazi wengi ni walatino..naamini haya idara yao ya polisi wengi na inaongozwa na hao hao..
 
... pole zao! Wamarekani wasipoangalia upya sera yao ya umiliki wa mabunduki itawagharimu sana. Muuwaji ni race gani? Asili ya wapi? Utimamu wa afya ya akili? Hizo ni parameters muhimu.
Ukistaajabu ya Mussa,Kuna baadhi ya maeneo yenye sheria kali zaidi huko ndio haya matukio hayaishi..Chicago,CA, na NY..kwa uchache tu..
 
Muuaji anaitwa Salvador Rolando Ramos. Sijajua Race yake wala asili yake wala afya yake ya akili, Ila mji aliofanyia mauaji Uvalde una Walatino wengi. Kitendo chake kinatakiwa kulaaniwa bila kujali rangi yake wala asili yake.

Vipi ungeambiwa Muuaji ni Muarabu mwenye asili ya Iraq na hakukutwa na matatizo yoyote ya akili? Ungesemaje?

Umenikumbusha tukio fulani lilitokea Munich Ujerumani mwaka 2016. Muuaji kaua watu 9 kabla ya kujiua mwenyewe. Watu wakawa wanawalaumu wageni, mara wanawalaumu Waislam. Kumbe Muuaji alikuwa ni Mjerumani mwenye asili ya Iran akiitwa David Ali Sonboly. Hakuwa mgeni alizaliwa Ujerumani, alizaliwa na kukulia katika makuzi ya kisekula. Wazazi wake walihisi alibadili dini kuwa Mkristo japo hakuwa religious.

Anders Behring Breivik alipowalipua watu Oslo, kabla hajajulikana watu walishaanza kulaumu Waislam.

Timothy McVeigh nae alipolipua watu Oklahoma mwaka 1995 kabla hajakamatwa, baadhi ya Media zilishaanza kuwashuku Waislam.

Watu wamekosa uadilifu na wako haraka kuhukumu.
Anders na Timothy wote ni magaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom